Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Gin Ideal
Gin Ideal
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Virginia Maina
Virginia Maina
Songwriter
Eric Mbithi
Eric Mbithi
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Demsriddim
Demsriddim
Producer

Lyrics

(Verse 1)
Picture me and my girls,going for a drink
Flawless like we woke up like this,
Fashion check,nails on fleak
Chali yako ako busy anarusha wink
He can never get a girl like i
Feeling like a queen
Looking like a fine wine
Uuu me make a guy say ooh my
Humble every day but i stay so fly
Leo me nataka kuwa tipsy
Hawa ma’ man ni lazima watachizi
Leo tunacheza mpaka mamugithi
Si bora dj acheze mzikiii
(CHORUS)
Songa....
Katika ngoma ikigonga..
Songa
Katika ngoma ikigonga
Songa
Katika ngoma ikingongaa
(Verse 2 )
One shot two shots
Mpaka chupa iishe
Skanking ni lazima tuivishe
Nimeiva sio lazima unishike
Wingi la tisa ni lazima si tufike
Boom shakalaka
Flow imewaka
Madem wanajipa na maboy wanataka
Shayo for the matter
Maji tunakata,ukichora saba lazima utakipata
Party is a party ka’ haichachi haunipati
Hii vordo inafanya me nikifeel naughty*2
       ( CHORUS )
Songa....
Katika ngoma ikigonga..
Songa
Katika ngoma ikigonga
Songa
Katika ngoma ikingongaa
(Bridge)
Itisha kile unadai
Buda me nitabuy
Sexy fine guy leo lazima nitawai
Ideal Gin with a likle ice
Yes im a good girl with a likle vice
Step in a de’ party
Fire upon de place
Leo ni leo na vileo pon di place
Finger on de trigger
Your hand inamie’ waist
Hand in a de air
Fi de table and the base
(Chorus )
Songa....
Katika ngoma ikigonga..
Songa
Katika ngoma ikigonga
Songa
Katika ngoma ikingongaa
Written by: Eric Mbithi, Virginia Maina
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...