Lyrics

Jamaa, jamaa, tamaa Taswira yake imenizidi Labda safari itanifaa Labda itanipa utulivu Nasikia sauti Nasikia sauti Gari ya moshi inaenda sana nibebe nirudishe nyumbani Gari ya moshi inaenda sana nibebe nirudishe nyumbani Rudi, rudi, rudia Rudia nipate usalama Nilidhani upweke inanifaa Lakini upweke unanizidi Nasikia sauti Nasikia sauti Gari ya moshi inaenda sana nibebe nirudishe nyumbani Gari ya moshi inaenda sana nibebe nirudishe nyumbani Lia, lia, tulia Dunia kafanana jehanamu Kovu nazo zajifichua Labda safari itanifaa Nasikia sauti Nasikia sauti Gari ya moshi inaenda sana nibebe nirudishe nyumbani Gari ya moshi inaenda sana nibebe nirudishe nyumbani Gari ya moshi inaenda sana Nibebe (nibebe) Nibebe (nibebe) Gari ya moshi inaenda sana Nibebe (nibebe) Nibebe (nibebe) Gari ya moshi inaenda sana Nibebe (nibebe) Nibebe (nibebe) Nibebe (nibebe) Nibebe (nibebe) Nibebe (nibebe) Nibebe (nibebe)
Writer(s): Krisitie Wattimah Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out