Lyrics
[Verse 1]
Maneno yanaingia sikio hili
Yanatokea upande wa pili
Sio siri ananiendesha akili
Ni kama chombo cha usafiri
[Verse 2]
Furaha inaboa ukikosa
Ni kama simu bila vocha
Ubora team coacher
Na kukupata wewe ndo ushindi tosha
[PreChorus]
Wanasema sisikii
Wanatoa kasoro I don't see
Nina kila sababu za kukupenda
Give you my love for free
[Chorus]
Love is free
I give my love for free
Nina kila sababu za kukupenda
My love for free
[Verse 3]
Give you love for the love
What you do for love
Do me love for the love
[Verse 4]
Nanite
Sitaki na mapenzi ya mitete
Kama unaniamini usinitete
Sitaki na mapenzi ya mitete
[Verse 5]
Love don't lie usiseme utapretend
Love never die, love never ending
Na kwenye mapenzi chuki haijengi
Sing alonge you are my lover, you are my friend
[Verse 6]
Tesa niko hapa kukutake care
Deka umapata pa kudekea
Ukicheka na kio kina kuchekea
Tatuanga nitapepeta na kuchekechea
[PreChorus]
Wanasema sisikii
Wanatoa kasoro I don't see
Nina kila sababu za kukupenda
Give you my love for free
[Chorus]
Love is free
I give my love for free
Nina kila sababu za kukupenda
My love is free
[Refrain]
Give you love for the love
What you do for love
Do me love for the love
Give you love for the love
What you do for love
Do me love for the love
Ooh yeah yeah yeah yeah
[Outro]
Nanite
Sitaki na mapenzi ya mitete
Kama unaniamini usinitete
Sitaki na mapenzi ya mitete