album cover
Pepeta Bango
album cover
Pepeta Bango was released on February 1, 2021 by Mzee Ngala as a part of the album Pepeta Bango - Single
ReleasedFebruary 1, 2021
LabelMzee Ngala
BPM
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Lyrics

[Verse 1]
Asalam alleikum nawasalimia
Kisha nawaambia wanisikia
Nyimbo zetu bango ndizo tulizo nazo
Utake ni hivyo kama hutaki ni basi
Usinilaumu sikupenda kwangu
Imenilazimu yataka ujue
Nyimbo hizi bango ndizo nyimbo za tunu
Yataka ufahamu kama hutaki ni basi
Wanipa furaha uwapo uwanjani
Uwanja ni wako wangoja nini
Bango ni muziki yetu ya kipwani
Wataka pepeta kama hutaki ni basi
[Chorus]
Pepeta bango pepeta leo twakesha na bango yoh
Pepeta bango pepeta nani asojua bango
Pepeta bango pepeta leo twakesha na bango tu
Pepeta bango pepeta nani asojua bango
[Outro]
Pepeta bango pepeta leo twakesha na bango yoh
Pepeta bango pepeta nani asojua bango
Pepeta bango pepeta leo twakesha na bango tu
Pepeta bango pepeta nani asojua bango
Pepeta bango pepeta leo twakesha na bango tu
Pepeta bango pepeta kama hutaki ni basi
Written by: Mzee Ngala
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...