Lyrics

Heeey Haah! Oooh Ooh Big Magow you already know wtf goin on Hata kama sina kitu lakini bado sipotei (Ah) Kwenye life sipotei Sihitaji mixed feelings Mixed feelings (Ah) Hata kama siongei Uliongea shit why you call me sipokei Uliongea shit why you call me sipokei Mitaa inaelewa what you tryna say Hata kama jua kali still got different ways Ulisema mwana ila siku hizi hutokei Kama mwanangu why you change Why you changin on me Nigga why you change on me I see you put blame on me I bin on the street get money like im pose to be Mishe kila kona mi na grind what they want from me Early in the morning mi nawasha get my mind ready Nipo kwenye Marathon Mama told me stay strong Life is like a jungle Really im at the war zone Nipo na wanangu halafu hatuitaji vikwazo Habari zao hatuna ila habari zetu wanazo We bin on some shit ila hatuitaji mawazo We can not complain tunashkuru tukipata Japokua kwenye life bado kuna utata We dont fear nobody halafu wanangu wote shooters Hata nkiwa mtaani sehemu flani utanikuta Hatanikiwa mtaani sehem flani utanikuta Hata kama sina kitu lakini bado sipotei (Ah) Kwenye life sipotei Sihitaji mixed feelings Mixed feelings (Ah) Hata kama siongei Uliongea shit why you call me sipokei Uliongea shit why you call me sipokei Mitaa inaelewa what you tryna say Hata kama jua kali still got different ways Ulisema mwana ila siku hizi hutokei Kama mwanangu why you change Why you changin on me Kama mwanangu why you change on me Ah, Eli i see you
Writer(s): Michael Magori Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out