Lyrics

Hapo mwanza kulkua na neno Nae neno alkua kwa mungu Na tena neno uyuu alkua mungu Nae neno alfanyika mwili Akaja akakaa kwetu Tukauona utukuufu wake mwana kondoo Yohana almwona amevikwa Vazi lilichovya katka dam Na jina lake lilikua mwana wa mungu
Writer(s): Christina Shusho Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out