album cover
Why Now
Pop
Why Now was released on March 12, 2021 by 2895954 Records DK as a part of the album This Is Me - EP
album cover
Release DateMarch 12, 2021
Label2895954 Records DK
LanguageEnglish
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM100

Music Video

Music Video

Credits

COMPOSITION & LYRICS
Josephine Lufumbi
Josephine Lufumbi
Songwriter

Lyrics

Tulianza kama watoto
Jangwani tukitambaa
Tukapishana na vikwazo
Njiani hatukukwama
Polepole tulianza kupaa
Ghafla ukanikataa
Sikuamini ulipokata tamaa
Kivipi ukanikacha
So why now unaniita
Unanihitaji
Why now unaniita
Unanihitaji
Why now unaniita
Unanihitaji
Najua unataka kibali
Ili urudi kwangu home
Naweza kupenda ilhali
Me kurudi nyuma no
Tulivyoanza paa ghafla
We pole pole ulinikataa
Sikuamini ulinikacha
Na moyo ukaniwekea chata
Tulivyoanza paa ghafla
Pole pole ulinikataa
Sikuamini ulinikacha
Na moyo ukaniwekea chata
So why now unaniita
Unanihitaji
Why now unaniita
Unanihitaji
Why now unaniita
Unanihitaji
Tulivyoanza paa ghafla
We pole pole ulinikataa
Sikuamini ulinikacha
Na moyo ukaniwekea chata
Tulivyoanza paa ghafla
Pole pole ulinikataa
Sikuamini ulinikacha
Na moyo ukaniwekea chata
So why now unaniita
Unanihitaji
Why now unaniita
Unanihitaji
Why now unaniita
Unanihitaji
Written by: Josephine Lufumbi
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...