album cover
Hunipati
3,861
Hip-Hop/Rap
Hunipati was released on April 15, 2021 by Hubert Nakitare Music as a part of the album Hanyaring Game
album cover
Release DateApril 15, 2021
LabelHubert Nakitare Music
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM103

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Nonini Mgenge2Ru
Nonini Mgenge2Ru
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Hubert Nakitare
Hubert Nakitare
Composer

Lyrics

[Verse 1]
Manze sijapata manzi miaka ka tano
Nikiona manzi tu hivi naona sura yako
Ule nilipata alikua ananuka jasho mbaya
Ikabidi nimemhepa tu lakini si kwa ubaya
Nikaangukia fulani hapo, ana bonge la pua
Vile ameumbwa chali yangu, huyo manzi anashtua
Nikakaa chini, na sa jo ile kitu niliamua
Nitakwama na we jo mpaka ile siku nitakufa
Na round hii sikupeleki ma viosk ati kula ati sijui ati manduma na ma mutura
Grand regency ndio tutakua tunakula, na kando tumeshikilia ma glass za Amarulla
[Chorus]
Nilikupa roho yangu, ukaivunja
Niliacha maisha yangu, ukanitupa
Nikawapata kwangu, juu ya kitanda yangu
Juu ya bed covers zangu na ule rafiki wangu
Ebu nicheki, ebu nicheki cheki
Mimi hunipati, mimi hunipati pati
Ebu nicheki, ebu nicheki cheki
Mimi hunipati, mimi hunipati pati
[Verse 2]
Mi hiyo siku tu nilingia tu hivi kwa nyumba
Nikaenda strait kwa kitchen, jo nikaanza kula
Baada ya kula, kwa bed mimi huyo nikaruka
Chafua bed sheets, tunazirusha rusha
Chafua naye hii pande ingine ananiuma uma
Sa mi ningejua aje, beshte yako ndiye alikua ndani ya bed
Na we ulikua umeenda kukatika Carni
We si unajua tu vile naku like tu Daniella
Na nikiona huyo beshte yako mi nitamwambia kwenda
'Saabu dunia nzima hakuna manzi mi napenda
Isipokua mtoto wangu tu Daniella!
[Chorus]
Ebu nicheki, ebu nicheki cheki
Mimi hunipati, mimi hunipati pati
Ebu nicheki, ebu nicheki cheki
Mimi hunipati, mimi hunipati pati
[Bridge]
Kamu hapa karibu tu na mimi
Mimi sitaki
Kamu kamu jo twende hivi
Twende wapi, twende wapi nawe, twende wapi nawe
Twende wapi nawe kwenda zako wewe
[Chorus]
Nilikupa roho yangu, ukaivunja
Niliacha maisha yangu, ukanitupa
Nikawapata kwangu, juu ya kitanda yangu
Juu ya bed covers zangu na ule rafiki wangu
Ebu nicheki, ebu nicheki cheki
Mimi hunipati, mimi hunipati pati
Ebu nicheki, ebu nicheki cheki
Mimi hunipati, mimi hunipati pati
[Outro]
Mimi sitaki
Twende wapi, twende wapi nawe, twende wapi nawe
Twende wapi nawe nawe
Twende wapi nawe, twende wapi nawe
Twende wapi nawe kwenda zako wewe
Written by: Hubert Nakitare
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...