Lyrics

I know you goin' like Yeah I know you goin' like Yeah! I know you goin' like (utaipenda) (Utaipenda) Segea hii ndo njia ndio maana sina wasi wasi haa Sina hofu 'cause me sio mbuzi wa shughuli oh-oh Segea hii ndo njia ndio maana sina wasi wasi (yeah yeah) Sina hofu 'cause me sio mbuzi wa shughuli Ninanvyokata hizi vesi bila wasi (wasi) Nitakaza mpaka mwisho labda nife kesho Hii sio ngoma droo mjomba ushindi lazima (hii leo) Hii sio ngoma droo mjomba ushindi lazima (leo) Kwa moyo, kwa chuki utaipenda (yeah) Utaipenda (leo), utaipenda oh-oh-oh Kwa chuki, kwa moyo utaipenda (yeah) Utaipenda (leo), utaipenda Uso wako unachukia kipaji changu (haa) Moyo wako unafurahia sauti yangu (oh-oh-oh) Uso wako unachukia kipaji changu (yeah yeah) Moyo wako unafurahia sauti yangu Hizo kunde sina kabisa mpangonazo (mpangonazo) Najua wazi mashuzi zitaniongezeamo Walizani nacheza natania (tania hii leo) Mungu inshaallah kanipandisha Kwa moyo, kwa chuki utaipenda (yeah) Utaipenda (leo), utaipenda (oh-oh-oh) Kwa chuki, kwa moyo utaipenda (yeah) Utaipenda (leo), utaipenda (R city is the house) Yeah! Yeah I know you goin' (utaipenda) Aah I know you goin' like (utaipenda) (Kwa moyo kwa chuki utaipenda) I know you goin' like it baby Aah! Kama na wa-overdose ok Kama nawaweka waiting in vain Cheif me nilivyo Obama kwa malkia Kwa feeling ni hizi lazima tuwe kwa machozi Hussein Yeah! Mashairi hayalali mtaani yamekuwa security Microscope kwahiyo ni impurities Na murder this saa sio my Disney reality Nani ana-guess just act, just I'm actor Nakimbiza huu mchezo kila bata Look men nikianzia unafuata Aah aah I'm shatter Na kama shatter na shaka ni kina pia Tunapangilia hatujaribu usinijaribu karibu karibu nikuaribu kasimulie Joh ni makini kama shaka usitie Ni bless the Jah, yes bless the jah You make dis noise R city is the house Yeah yeah yeah we in a hause Aah yeah I know you goin' like baby Kwa moyo, kwa chuki utaipenda (yeah) Utaipenda (leo), utaipenda (oh-oh-oh) Kwa chuki, kwa moyo utaipenda (yeah) Utaipenda (leo), utaipenda Kwa moyo, kwa chuki utaipenda (yeah) Utaipenda (leo), utaipenda (oh-oh-oh) Kwa chuki, kwa moyo utaipenda (yeah) Utaipenda (leo), utaipenda Yeah I know you goin' like it Aah yeah I know you goin' like (Utaipenda, utaipenda)
Writer(s): Hussein Rashid Juma, John Simon Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out