Music Video
Credits
COMPOSITION & LYRICS
Patrick Mbaru
Songwriter
Alex Wanyoike
Songwriter
Alex Maiga
Songwriter
BRIAN MUTWIRI
Songwriter
Michael Simiyu Khabana
Songwriter
Lyrics
Katoto faya faya
Kanavyocheza faya
Kanavyosonga faya
Waistline faya
Kila kitu faya
Katoto faya faya
Kanavyocheza faya
Kanavyosonga faya
Waistline faya
Kila kitu faya
Mtoto wa khadija unatesa yeah
Unatesaa
Kiuno toka pwani mpaka western yeah
Mpaka western
Na tukipatana gizani hiyo ni kesha yeah
Hiyo ni kesha
Na kuna venye ananifanya I got pressure yeeeah
Coz I'm liking the way that we are vibing
And when you're whining I like the way I loose it
Oh coz I'm liking the way that we are vibing
And when you're whining I like the way I loose it
Katoto faya faya
Kanavyocheza faya
Kanavyosonga faya
Waistline faya
Kila kitu faya
Katoto faya faya
Kanavyocheza faya
Kanavyosonga faya
Waistline faya
Kila kitu faya
Baby your my uno
Number 1 you know
Kwanza unavyo tingisha tingisha hicho kiuno
Mungu alikupa zigo
Nikavunja shingo
Vaburati saturati calculati ah ah ah ah
Dawa ya moto ni moto
Figa moto moto
Kama Kangoko ka ghetto
Katoto faya faya
Kanavyocheza faya
Kanavyosonga faya
Waistline faya
Kila kitu faya
Katoto faya faya
Kanavyocheza faya
Kanavyosonga faya
Waistline faya
Kila kitu faya
Unanipa confidence
Kwanza ukiseti it's a murder case (Yeh)
Baby Baby fire dem
Kiuno faya, Waistline fire
Unanipa confidence
Kwanza ukiseti it's a murder case (Yeh)
Baby Baby fire dem
Kiuno faya, Waistline fire
Kila kitu faya aaaaaah
Katoto faya faya
Kanavyocheza faya (Cheza faya oh)
Kanavyosonga faya (Songa faya)
Waistline faya (Waistline faya)
Kila kitu faya (Faya aah ah)
Katoto faya faya (Faya faya)
Kanavyocheza faya (Mmhmmh)
Kanavyosonga faya
Waistline faya
Kila kitu faya
Faya faya, faya faya
Kanavyosonga faya (Faya faya)
Waistline faya (Faya faya)
Kila kitu faya (Faya faya)
Writer(s): Alex Wanyoike
Lyrics powered by www.musixmatch.com