album cover
Machejo
19
World
Machejo was released on April 15, 2021 by 2539482 Records DK as a part of the album Madubwana
album cover
Release DateApril 15, 2021
Label2539482 Records DK
LanguageEnglish
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM

Music Video

Music Video

Credits

COMPOSITION & LYRICS
Jerome Mushi
Jerome Mushi
Songwriter

Lyrics

Heey
Iyee Kilema
Kabadi kabadi kilema
Omalicha nwa wanataka tuachane (hatuachani!)
Mtoto kifaa wanataka tumwagane (hatumwagani!)
Mtoto anapenda kioo
Anapenda saana kioo
Eeeh kameshanteka (mateka)
Kwake mi nasebenza (sebenza)
Mbona leo tutakesha (mkesha)
Chaga zitalegezwa eeh aarh
Kameniweza (kameniweza!)
Katoto kameniweza (kameniweza!)
Hata kakitaka pesa
Nitakapa zote mpaka niongeza (arh eh)
Kanamachejo eeh
Nataka nikachojoe
We nipe nikachojoe nataka nikachojoe aar eeh
Kana machejo eeh nataka nikachojoe
We nipe nikachojoe nataka nikachojoe aar eeh
Inauma inauma
Inauma inauma
Inauma inauma
Inauma inauma
Please don't kill my vibe
Please don't kill my vibe
Utamu wako mi sikatai (ooyayayah)
Umenipiga kipapai
Ukichoka nikubebe (bebe!)
Usije ukanipa mawenge (wenge!)
Kwako nishachizika milembe (lembe!)
Eeeh kameshanteka (mateka)
Kwake mi nasebenza (sebenza)
Mbona leo tutakesha (mkesha)
Chaga zitalegezwa eeh aarh
Kameniweza (kameniweza)
Katoto kameniweza (kameniweza)
Hata kakitaka pesa
Nitakapa zote mpaka niongeza (arh eh)
Kanamachejo eeh
Nataka nikachojoe
We nipe nikachojoe nataka nikachojoe aar eeh
Kana machejo eeh nataka nikachojoe
We nipe nikachojoe nataka nikachojoe aar eeh
Inauma inauma
Inauma inauma
Inauma inauma
Inauma inauma
Written by: Jerome Mushi
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...