Music Video
Music Video
Credits
PERFORMING ARTISTS
MadTraxx
Performer
COMPOSITION & LYRICS
George Muigai
Songwriter
Lyrics
A bad gyal
A rude gyal
I mean I never love a good gyal
Yule anavaa sahunya
Na Sato manze bado ana dunga
A bad gyal
A hood gyal
How could I ever love a good gyal
Mavela ana sanif ana funga
Sato tunashikisha Aluta
(Verse 1)
Playlist ni ma Wu tang
Doba, Saa zingine ni ma Rhumba
Mtoto ata na deira anauwa
Mi huskia baridi akienda tu kwa duka
Champagne akiwa dunda
Lakini ye uchapa konyagi ndani ya nyumba
Hatari aki ni furia
Wazimu kutupa masahani na sufuria
Simu Hiyooo
Nje ya dirisha
Viatu zipatikane kwa mapipa
Ata siwezi mkaribia
Juu dawa yake M-Pesa namtumia Ah
(Chorus)
A bad gyal
A rude gyal
I could never love a good gyal
Yule anavaa sahunya
Na sato manze bado anadunga
A bad gyal
A hood gyal
I just never understood gyal (How now)
Leo tabia ni runda
Kesho "nime toka phase 2" Gyal
Fala akiniletea
Utiaji baby gal uniteteta
Na wale dame wanapendanga muchene
My advice we omba akusamehe
Ata kupasha na ma sheng za mbogi genje
Ama walai unarudi bila nywele
Anajua ku adjust
Ata kama uko chini
Hauwezi lala njaa
Masha bro yake ni pedi
Ye utujenga vela na tulipe next week
Matha aliniambia nitoke chap chap
Sema ukweli kuna vile nime kwama
Niki amua ati leo nitamwacha
Ni ile siku maajabu kwa kitanda
(Vocal Scratch)
Ni ile siku maajabu kwa kitanda
(Chorus)
A bad gyal mtoto chupa
Huyo mi ndio utafuta
I'm not attracted to them good gyals
I'm attracted to the baddest of the hood gyals
Wale wanajua ma bouncer
Ma Dj, pia wanajua makanga
Na ule msee alikuwa anauza makaa
Na yule msee alikuwa dingo
Hauskii ati wote walikuwa primo
Hauskii ati wote wanamuita Shiko
And I'm just tryna be a good guy
Right now I'm addicted to the bad type
(Vocal Scratches)
Hauskii, It's your boy Madtraxx (X4)
Written by: George Muigai


