Music Video

KICHWA MBAYA-SPICE ENTERTAINMENT X (BOONDOCKS GANG)ODI WA MURANGA[OFFICIAL VIDEO] DIR:VIKTA DANIELS
Watch {trackName} music video by {artistName}

Credits

PERFORMING ARTISTS
Spice Entertainment
Spice Entertainment
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Spice Entertainment
Spice Entertainment
Songwriter

Lyrics

Eeh Odi wa Murang'a naskia ulitoka Ule mthose kipetero ki Yesu manze, ilikuwaje? Eeh jo man si unajua hadi pedi wake nilimtoka juzi Si uliniambia ati uliona zake zihunuka makereash Manze zi hutupa, zi hutupa lakini mi ni nani? Mi ni kichwa mbaya mi hapana tambua Enyewe babayoh ni kichwa mbaya So tunapelekana na rieng ya kichwa mbaya (Mi kichwa mbaya mi hapana tambua) Sidai zake ju ye huuza mambichwa mbaya Na pedi wako naweza mtoa ju ni kichwa mbaya Uwashe tatu ndo unifungulie za madawa Ka una kutu chapa kitu ki ukichwa mbaya Ju hizi pia ni talanta, mi ni kichwa mbaya Niko kajing na kashada we si kichwa mbaya Thobo thobo nitariada mi ni kichwa mbaya Chimba turi bila mpango ki ukichwa mbaya Ju hizi pia ni talanta, mi ni kichwa mbaya Niko kajing na kashada we si kichwa mbaya Thobo thobo nitariada mi ni kichwa mbaya Chimba turi bila mpango ki ukichwa mbaya Mbuzi kakuja kichinjio Zimeshika naskiza tu za Neyo Na mashasha mavitu ni ban hiyo Na mthose akuje kikalio Pia wizi ni talanta Mi ni dingo nakuwaga na garanta Na mbogi yangu yote yo hukula tu mabata Uliza bibi yako mi hukula kwako sapa Ah pretty gal mi hupenda mateke Ye ni lele na bado ana nyege Mi hupiga wanaita manjege Piga Shiru ambiye Mathenge Tigana na fagi we Mwangi Na hizi Keg tujazilishie hizo Konyagi aah Walisema ujana moshi Ndio maana kikiwaka man sijifichangi aah Ju hizi pia ni talanta, mi ni kichwa mbaya Niko kajing na kashada we si kichwa mbaya Thobo thobo nitariada mi ni kichwa mbaya Chimba turi bila mpango ki ukichwa mbaya Ju hizi pia ni talanta, mi ni kichwa mbaya Niko kajing na kashada we si kichwa mbaya Thobo thobo nitariada mi ni kichwa mbaya Chimba turi bila mpango ki ukichwa mbaya Mi ni mzazi mi huchill na mathako Ka ni jaba nashikisha na babako Eey mbogi yangu hukutoka kimavako Ka ni shada mi huiva ki-Mavado Jeshi ya Nanyuki Odi wa Murang'a Si huiva shada hata na mabang'a Oya panda tuwabebe ka makanga Shika ngeus umpeleke na rada Mi ni rasta bila dredi Mbogi yangu yote itanyc ukidedi Niko under water utadhani mi ni pedi Ngoma zako zote zi huboo kama Jessy Tigana na fagi we Mwangi Na hizi Keg tujazilishie hizo Konyagi aah Walisema ujana moshi Ndio maana kikiwaka man sijifichangi aah Ju hizi pia ni talanta, mi ni kichwa mbaya Niko kajing na kashada we si kichwa mbaya Thobo thobo nitariada mi ni kichwa mbaya Chimba turi bila mpango ki ukichwa mbaya Ju hizi pia ni talanta, mi ni kichwa mbaya Niko kajing na kashada we si kichwa mbaya Thobo thobo nitariada mi ni kichwa mbaya Chimba turi bila mpango ki ukichwa mbaya Shika mthose uitiwe babake Leta lejo na crate ya mikate Tuchome shada na alete kakake Toka mbio na ukule mamake Inua njuang'a kama bendera Toka nduaka na uhepe mathena Dara Njeri na ukule Wanjira Gonga turi aitiwe Kawira Robi wood kwenye wood ni kuburn tu makush Tukifika kasabun hadi umeze kwenye hood Na mafikra ka baboon tukidrop tu maboom Tunadrop kama doom tunakill hao magoon Tigana na fagi we Mwangi Na hizi Keg tujazilishie hizo Konyagi aah Walisema ujana moshi Ndio maana kikiwaka man sijifichangi aah
Writer(s): Spice Entertainment Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out