Music Video

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Miss Nelly
Miss Nelly
Performer
Nelly Tuikong
Nelly Tuikong
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Nelly Tuikong
Nelly Tuikong
Songwriter

Lyrics

Salama, salama, niko salama na wewe Salama nawe, salama nawe Niko salama, salama, salama na wewe Upendo kama wako, ijaona mie, sijaona mie Na vile umenilinda, umenitunza mie Nikianguka waniinua Nikilemewa wanipa nguvu Umeibeba mizigo yangu, ukayafuta machozi yangu Umeushika mkono wangu, ukayatatua matatizo yngu Umeibeba mizigo yangu, ukayafuta machozi yangu Umeushika mkono wangu, sasa umekua tulizo langu Salama, salama, niko salama na wewe Mikononi mwako niko salama, kwako niko salama Salama, salama, niko salama na wewe Mikononi mwako niko salama, kwako niko salama Nimejaribu (zote) mbinu zangu nikashindwa Nikajitahidi, nikaambulia patupu Imani yangu naweka kwako Mlinzi wangu, vita ni vyako Umeibeba mizigo yangu, ukayafuta machozi yangu Umeushika mkono wangu, ukayatatua matatizo yngu Umeibeba mizigo yangu, ukayafuta machozi yangu Umeushika mkono wangu, sasa umekua tulizo langu Salama, salama, niko salama na wewe Mikononi mwako niko salama, kwako niko salama Salama, salama, niko salama na wewe Mikononi mwako niko salama, kwako niko salama Umeahidi uko nami, huezi kuniacha Wakati wa magumu, na pia raha Tegemeo langu, mfariji wangu Ni wewe pekee yako, u tulizo langu Umeibeba mizigo yangu, ukayafuta machozi yangu Umeushika mkono wangu, ukayatatua matatizo yngu Umeibeba mizigo yangu, ukayafuta machozi yangu Umeushika mkono wangu, sasa umekua tulizo langu Salama, salama, niko salama na wewe Mikononi mwako niko salama, kwako niko salama Salama, salama, niko salama na wewe Mikononi mwako niko salama, kwako niko salama
Writer(s): Nelly Tuikong Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out