album cover
Msalaba (Live)
album cover
Msalaba (Live) was released on May 29, 2021 by 939889 Records DK as a part of the album Mungu Mmoja (Live)
ReleasedMay 29, 2021
Label939889 Records DK
LanguageEnglish
BPM110
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Lyrics

Naiheshimu na kuibariki kazi ya msalaba
Siuchukulii kwa wepesi huu msalaba
Kama sio kwa kupigwa kwako
Nisingeitwa kwa jina lako
Nakushukuru kunikomboa kwa msalaba
Naiheshimu na kuibariki kazi ya msalaba
Siuchukulii kwa wepesi huu msalaba
Kama sio kwa kupigwa kwako
Nisingeitwa kwa jina lako
Nakushukuru kunikomboa kwa msalaba
Msalaba, msalaba
Ni ahadi ya ukombozi
Msalaba, msalaba
Damu yako, imeniosha
Imenifanya mwana wako
Misumari yako iligongea uhuru wangu
Mkuki wako ulifungua vifungo vyangu
Aibu ya utupu wako, imenifanya mwana wa haki
Naibariki, kazi ya msalaba
Misumari yako iligongea uhuru wangu
Mkuki wako ulifungua vifungo vyangu
Aibu ya utupu wako, umenifanya mwana wa haki
Naibariki, kazi ya msalaba
Msalaba, msalaba
Ni ahadi ya ukombozi
Msalaba, msalaba
Damu yako, imeniosha
Imenifanya mwana wako
Ohh Damu yako, imenidhamilisha
I am called by your name
Your Grace has set me free
Ohh ohh
Thank you Lord
Thank you for the cross
Thank you for the blood
You laid your life down, for me
That I will be called your righteousness
Thank you for the blood
Thank you for the cross
Thank you for the price, you paid for me
Written by: Nsiandumi Ndossi
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...