Lyrics

Sipendi nikibebwa wana Mi utanikatsia ukianza za umama Mi hukua mpole but naeza kua mnyama Naeza kuzima kileft, kiright Ulinichocha we ni heavyweight Ona umeKO We ni champe huezi zima Sa mbona umeKO Hizi vitu hupiga everyday Kamoja umeKO Ona sasa umezima Saa moja umeKO Ulinichocha we ni heavyweight Ona umeKO We ni champe huezi zima Sa mbona umeKO Hizi vitu hupiga everyday Kamoja umeKO Ona sasa umezima Uuuuh haaa Oya pass kindukulu Pedi ni wepukhulu Naririma mdagi chini ya maji Niko mmwikulu Mbosho na salasa Jaba,raba na katululu Dj hapatikani anamedi Ako sululu Matire na ni zile Zinalipuka ka baruti Saa kumi dakika twenty Fitu sita ndani ya kaburi Santuri instead ya karoli Shuksha nipe callories Nyi mnachoma nyaru managu Mi zangu broccoli Shukisha shukisha mdogo Funika kisogo alafu Tingisha msondo Tuliza tuliza mdogo Puliza kikoro alafu rudisha mkono Leo uskii niko madawawawa Niko fly niko mabawawawa Staki io yako umegawawawa Taka ile mpya nskie wawawa Aaaishalala after umekiwasha Ushalala leo sko maziwa Niko mala naeza nionea Uone balaa oooh Oka kamnyweso leta zotezote Oka kamnyweso napiga mpaka zigzag Oka kamnyweso niko kotekote Oka kamnyweso nafinya mpaka rewind Ulinichocha we ni heavyweight Ona umeKO We ni champe huezi zima Sa mbona unaKO Izi vitu hupiga everyday Ka moja umeKO Ona sasa umezima Saa moja umeKO Ulinichocha we ni heavyweight Ona umeKO We ni champe huezi zima Sa mbona unaKO Izi vitu hupiga everyday Ka moja umeKO Ona sasa umezima Saa moja umeKO Lightweight wa makali Heavyweight wa mabangi Heavyweight wa majani Lightweight wa makombi Sikudishi nyama nilisosi sossi Nami ndo nlikata kuliko kikosi Nableki aje faster kuliko hawa madem Nasare madre mi sidai kua dead Mi si member again Narefform arif ukipata fom Enda solo usincall again Ulinichocha we ni heavyweight Ona umeKO We ni champe huezi zima Sa mbona umeKO Izi vitu hupiga everyday Kamoja umeKO Ona sasa umezima Ulinichocha we ni heavyweight Ona umeKO We ni champe huezi zima Sa mbona umeKO Izi vitu hupiga everyday Kamoja umeKO Ona sasa umezima Saa moja umeKO Outro Its bryon baby
Writer(s): Tony Kinyanjui Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out