Lyrics

Nilijua mtasema×2 Kama maneno yangelikuwa njaa yangelitesa tumbo langu Kama yangelikuwa tindikali., yangebabua ngozi yangu Na kama yangelikuwa sumu kali yangehutoa uhai wangu... Lakini ahhh.hayana virusi hayana risasi hayanibabaishi... Nilijuaaa mtasemaaa... semeni×2 Siwakatazi kusema, midomo kawapa mwenyezi., semeni yote mtosema hamnitii maradhi×2 Nimerudi kwa muadhama profesa wa mapenzi, kwenu nimekwisha hama mmeshindwa kunienzi×2 Huku ninalishwa nyama ya mishikaki ya mbuzi., mnachojua lawama si utendaji wa kazi.×2 Siyajali mnosema, ngao yangu ni mwenyezi×2 Binadamu amuwishikwamba nilijua mtasema...×2 Semeni...×2 Hamshushi hadhi yangu, simwachi mpenzi wangu... Buheri nipo kwangu×2 Nilijua mtasema,, semeni...×2 sijali mavuvuzera mnayopuliza kwangu. Sasa mambo welawela nakamua life yangu×2 Mkinisema kila maraa, mie ndo uzima wangu. Bure zenu biashara za majungu dhidi yangu×2 Semeni sina hasara atanilipia mungu,, najua kina wakera kurudi kwa hani wangu×2 Sijazakawhalaa hailaaa., me napata kula yangu×2 Binadamu awaishikwamba nilijua mtasema×2... semeni×4 Hamshushi hadhi yangu... Simwachi mpenzi wangu Buheri nipo kwangu×4 Mdomo nyumba ya maneno... Nilijua mtasemaaa...,×2 Longolongoo. za waswazi, hazinipi mtihani... hazininyimi usingizi wa kulala na mwandani×2 Nimerudu kwa mpenzi sasa maneno ya nini? Mdomo nyumba ya maneno. Nilijua mtasema... Mzee yusuph's melody...
Writer(s): Jahazi Modern Taarab Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out