album cover
Sikitiko
94
World
Sikitiko was released on January 1, 1978 by Universal Music Kenya Limited as a part of the album Epuka Tabia Mbaya
album cover
Release DateJanuary 1, 1978
LabelUniversal Music Kenya Limited
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM

Lyrics

Kweli sikitiko, sikitiko
Kweli sikitiko linatupata
Kweli sikitiko, sikitiko
Kweli sikitiko linatupata mama aah
Kusema ukweli tukikumbuka mama na majonzi yanatutoka
(Kusema ukweli)
Kusema ukweli tukikumbuka mama na majonzi yanatutoka
Kweli sikitiko, sikitiko
Kweli sikitiko linatupata
Kweli sikitiko, sikitiko
Kweli sikitiko linatupata mama aah
Kusema ukweli tukikumbuka mama na majonzi yanatutoka
(Kusema ukweli)
Kusema ukweli tukikumbuka mama na majonzi yanatutoka
Kuona wale wenzetu wanateseka, mama
Wako katika mikono ya watu weupe wachache
Kuona wale wenzetu wanateseka, mama
Wako katika makucha ya watu weupe wachache
Watu wasiothamini utu wa mtu
Watu makatili kwa roho za watu
Watu wasiothamini utu wa mtu
Watu makatili kwa roho za watu
Wanawaua ndugu zetu kwa tamaa
Na huku Makaburu wanafurahia ah ya ya
Sikitiko
Kuona wale wenzetu wanateseka, mama
Wako katika mikono ya watu weupe wachache yeh, yeh
Kuona wale wenzetu wanateseka, mama
Wako katika makucha ya watu weupe wachache
Watu wasiothamini utu wa mtu
Watu makatili kwa roho za watu
Watu wasiothamini utu wa mtu
Watu makatili kwa roho za watu
Wanawaua ndugu zetu, kwa tamaa
Na huku Makaburu wanafurahia oh yaya
Wito (wito)
Wito, oh ooh (wito)
Afrika lazima tuikomboe mama (lazima tukiomboe)
Afrika lazima tuikomboe mama (lazima tuikomboe)
Makaburu tukawakatekate mama oh (lazima tuikomboe)
Makaburu tukawakatekate mama oh (lazima tuikomboe)
Kwa mitutu, na mikuki na mapanga mama (lazima tuikomboe)
Kwa mitutu, na mikuki na mapanga mama oh (lazima tuikomboe)
Ooh mama lazima tuikomboe mama (lazima tuikomboe)
Eeh mama lazima tuikomboe mama (lazima tuikomboe)
Lazima tuikomboe mama (lazima tuikomboe)
Lazima tuikomboe mama ooh (lazima tuikomboe)
Written by: Saidi Mabera
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...