Credits
PERFORMING ARTISTS
Msanii Music Group
Choir
COMPOSITION & LYRICS
Joash Nyamongo Ongechi
Songwriter
Msanii Music Group
Arranger
PRODUCTION & ENGINEERING
Msanii Music Group
Producer
Lyrics
Dunia ndugu sio kwetu, tuwasafiri wapitaji
Japo mateso yatusonga tujipe moyo tutashinda, tujipe moyo tutashinda

(Haleluya!) Mateso yatakoma Mwokozi arudipo, tutaishi na Bwana katika nchi ya amani, katika nchi ya amani
(Haleluya!) Mateso yatakoma mwokozi arudipo, tutaishi na Bwana katika nchi ya amani, katika nchi ya amani
Tunapotengana na ndugu, wapendwa wetu kwa huzuni
Wengi wakosa tumaini, ya kuonana juu Mbinguni, ya kuonana juu Mbinguni
Tunapotengana na ndugu, wapendwa wetu kwa huzuni
Wengi wakosa tumaini, ya kuonana juu Mbinguni, ya kuonana juu Mbinguni
(Haleluya!) Mateso yatakoma Mwokozi arudipo, tutaishi na Bwana katika nchi ya amani, katika nchi ya amani
(Haleluya!) Mateso yatakoma Mwokozi arudipo, tutaishi na Bwana katika nchi ya amani, katika nchi ya amani
(Haleluya!) Mateso yatakoma Mwokozi arudipo, tutaishi na Bwana katika nchi ya amani, katika nchi ya amani
(Haleluya!) Mateso yatakoma Mwokozi arudipo, tutaishi na Bwana katika nchi ya amani, katika nchi ya amani
(Haleluya!) Mateso yatakoma Mwokozi arudipo, tutaishi na Bwana katika nchi ya amani, katika nchi ya amani
(Haleluya!) Mateso yatakoma Mwokozi arudipo, tutaishi na Bwana katika nchi ya amani, katika nchi ya amani
Written by: Joash Nyamongo Ongechi