Lyrics

Ayolizer Kibe, Kibe Kibee Kibe ni mshindi mwingine Kibee Kibe kutoka CCM chama Sio chama kingine Kibee Kibee Kibee Hee! Kibee Ameshinda mwingine Kutoka chama kubwa chama Sio chama kingine Oooh! Wazanzibar Shangilia shangilia Hussein Mwinyi Rais Kashachangulia Kwa hii hali yetu Aendeleze ilani ya chama Zanzibar yetu Ye kaja kuinyanyua Hussein Mwinyi Mikono salama Ye ataendeleza mazuri yake sheni Utawala bora Utawala bora uchumi na amani Kwa bashasha Natamka Hussein Mwinyi Rais wangu Sijalazimishwa, sijashurutishwa Nimemchagua kwa kura yangu Oooh! Wazanzibar Shangilia shangilia Hussein Mwinyi Rais Kashachangulia Mchapa kazi mzalendo Mlinzi wa muungano wetu Wanamapinduzi yetu Hongera rais wetu Rais nani? Rais Nani? Ni hussein Mwinyi Hatoki Ikulu Mpaka miaka kumi Eeeh! Zanzinbar daima mbele Kwa bashasha Kwa furaha Natamka Natamka mimi Hussein Mwinyi rais wangu Eeh! Hongera Rais wangu Sijalazimishwa, sijashurutishwa Nimemchagua kwa kura yangu Oooh! Wazanzibar Shangilia shangilia Hussein Mwinyi Rais Kashachangulia
Writer(s): Keveni Venice Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out