Lyrics

Wayaaa! Wayaaa! Wayaaa! Kama kapiga kichuya Wayaaa! Kama kafunga Messi Wayaaa! Kama kapiga Msuva Wayaaa! Kama kafunga Ronaldo Magufuli kapiga kachapa Wayaaa! Wapinzani wameshindwa kudaka Wayaaa! Kwenye chama karudi Lowasa Wayaaa! Tunawafunga kama Samata Wayaaa! Kipondo kipondo Lazima tuchukue ndoo Tunavyowapa kipondo Kama Barcelona kacheza ndondoo Kipondo kipondo Lazima tuchukue ndoo Tunavyowapa kipondo Kama Barcelona kacheza ndondoo Barabara kama mbele Wayaaa! Kacheza kama Pele Wayaaa! Tena reggea zipo tele Wayaaa! Shule bure bila kwere Wayaaa! Kwenye afya kilimo asante Wayaaa! Umecheza kama Ngolo Kante Wayaaa! Standard gauge mwendo kasi mwake Wayaaa! Umetisha kama Mbape Kipondo kipondo Lazima tuchukue ndoo Tunavyowapa kipondo Kama Manchester kacheza ndondoo Kipondo kipondo Lazima tuchukue ndoo Tunavyowapa kipondo Kama Arsenali kacheza ndondoo Wamebana wameachia Samia, Suluhu kapiga shuti mbele Wamebana wameachia Kassim Majaliwa kama ameandika gere Wamebana wameachia Dr Sheni kawakaba shingoni Wamebana wameachia Mwake amepanda mpira kama Morrison Pole pole anapiga shuti Wayaaa! Mangula anapiga shuti Wayaaa! Mangwala anapiga shuti Wayaaa! Makonda anapiga shuti Wigulu chemba anapiga shuti Wayaaa! Majaliwa anapiga shuti Wayaaa! Mama Samia anapiga shuti Magufuli anapiga shuti Wayaaa! Kona goli ...eeeh! Kona goli ...eeeh! Kona goli ...eeeh! Kona goli ...eeeh!
Writer(s): Raymond Mwakyusa Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out