album cover
Watu
27
Electronic
Watu was released on November 19, 2021 by On The Corner as a part of the album Kila Mara
album cover
Release DateNovember 19, 2021
LabelOn The Corner
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM168

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Alai K
Alai K
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Alai K
Alai K
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Alai K
Alai K
Producer

Lyrics

Watu, watu
Watu, watu
Watu, watu, watu eeh, watu
Watu
Leo kama jana yajulikana ulimwengu mzima
Yaonekana kila leo
Siwezi nyamanza tena sijatairiwa ulimi bwana ukweli pia hukunasema
Mnoynge sinyongeki tena
Haki yangu nipeni tena
Niwacheni ukoloni sahauni
Ukaburu usiniletee pekechee
Uhuru nitendee nuru nipigie
Nisiogope niongee
Zifungue pingu tena nigotee
Usitikisike nangalie
Kwenye macho usipepese
Wacha nikupatishe
Roho yangu yauma
Sitapiga magoti tena babu yangu alikufa
Nayo ni zamu yangu mimi sasa
Zakitambo fuata mwewe Mista
Bwana mkubwa nimeshawahi kuona
Akiitwa kijana wa miaka kumi na tisa
Kisa kuishi kila siku mahali
Kungamasi mimi na wewe basi ni polisi
Roho ngumu kama ya paka
Sadaka peleka kwako nyumbani wanaitaka
Nataka niwe mimi nipate binti kaka mimi
Usiogope dunia ni yetu sote
Sio yako pekee usiondoke
Hewa ya bure maisha bwerere
Nadhabu tele uliniibia wewe
Nawache niongee walimwengu tukumbuke
Nawache niongee walimwengu tukumbuke
Utumwa miaka iliopita mpaka sasa inafanyika
Naichagua historia nataka kulia naikumbua wosia
Naumia hutaki kujua shangilia uchungu
Mbona mbora mbele ya mwenyezimungu
Hakuna kwenye hii dunia
Twapita tu mchanga na majivu wivu achana nao
Nyeusi, nyeupe, nyekundu, kijani
Mapambo ya ulimwengu
Uhuru kila mtu vile alipata bila kuchagua
Bila kubagua kila mtu vile anavyotaka
Sionilie ucheke unione huyu bwege
Asante ya punda mateke
Wazee walipatiwa kashehe
Niwache niongee walimwengu tukumbuke
Written by: Alai K
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...