Lyrics

Aah Jina lako Jina lako Umenipa utulivu Sina hofu, unami I have no fear for you are with me Sina mwingine ila wewe Baba Mimi ni nani, wanipenda hivi? Waniinua juu, n'tasifu jina lako Mimi ni nani, wanipenda hivi? Waniinua juu, n'tasifu jina lako Jina lako (jina lako) Jina lako (jina lako) Jina lako (jina lako) Umenipa utulivu Sina hofu, unami The King of kings He'll never leave me Umeniokoa, mimi mwenye dhambi Mimi ni nani, wanipenda hivi? Waniinua juu, n'tasifu jina lako (oh mimi ni nani) Mimi ni nani, wanipenda hivi? (Waniinua juu) Waniinua juu, n'tasifu jina lako (mimi ni nani Baba) Mimi ni nani, wanipenda hivi? (Wewe waniinua) Waniinua juu, n'tasifu jina lako (hakuna upendo kama wako Baba) Mimi ni nani, wanipenda hivi? Waniinua juu, n'tasifu jina lako Jina lako ni Yesu Yesu (twasema) Yesu (tunamsifu) Yesu (mponyaji Yesu, mfariji Yesu) Yesu (Yesu) Mimi ni nani, wanipenda hivi? Waniinua juu, n'tasifu jina lako (mimi ni nani Baba) Mimi ni nani (Mfalme wa wafalme), wanipenda hivi? (Jemedari yeah) Waniinua juu, n'tasifu jina lako (twasifu jina lako) Mimi ni nani, wanipenda hivi? Waniinua juu, n'tasifu jina lako Waniinua juu, n'tasifu jina lako Waniinua juu, n'tasifu jina lako
Writer(s): Stella Kareo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out