Lyrics

Si ni wale mang'aa Wa Mang'ang'o Si ni wale mang'aa Wa Mang'ang'o Si ni wale mang'aa Wa Mang'ang'o Sisi ni mabwana za mabibi zao Si ni (Jua Cali) Si ni wale wabaya wacha kushangaa Na hatuna haya na hii umang'aa Niko juu ya jaba nikiteremsha chang'aa Na niko na mbogi yangu nikute kwa mtaa Kutesa kila siku vile inafaa Usingizi iliisha hujalala siku saba Mguu zetu chafu bado unageuzana Legolize, miti ni dawa Mangoko wote wako na umang'aa Mangati wote wako na umang'aa Mtaa zote ziko na umang'aa Kama hujui sisi wote ni walee Si ni wale mang'aa wa ma ng'ang'o Si ni wale mang'aa wa ma ng'ang'o Si ni wale mang'aa wa ma ng'ang'o Sisi ni mabwana za mabibi zao Si ni wale mang'aa wa ma ng'ang'o Si ni wale mang'aa wa ma ng'ang'o Si ni wale mang'aa wa ma ng'ang'o Sisi ni mabwana za mabibi zao (SWAT) Shada imekazwa ndo ishikishi Napita nikikata nikisipi si Napiga hiyo kitu ina pisi pisi Ukiona mi na mbulu jua niko Masii Nakemba Wambo, Shiko, Njeri na Mercy Hizo shimo zote mi nina ma-key Nakata base -- mloso na Cassey Chombo ua kasongesho Brikicho, hicho hicho Kalongongo na banono Kilokolo cha mbao Kuchengwa ngwa kwa grao Si ni wale mang'aa wa ma ng'ang'o Si ni wale mang'aa wa ma ng'ang'o Si ni wale mang'aa wa ma ng'ang'o Sisi ni mabwana za mabibi zao Si ni wale mang'aa wa ma ng'ang'o Si ni wale mang'aa wa ma ng'ang'o Si ni wale mang'aa wa ma ng'ang'o Sisi ni mabwana za mabibi zao (ODI WA MURANG'A) Odi wa Murang'a ni ka nimemeza Tongs Na leo katashika tu bila jing jongs Na rieng niko ready tu camera ikiwa on Na hao mangeus hapo kando walegeze thongs Mangwati mingi mingi kendo ngiri Thirty Mangwai mingi mingi kendo mkoko thirty Mi sina akili mi hutemea hadi wale mate Mi humwaga ka chizi sipanguzi ndo ulambe Singekuwa mkenya ningekuwa peddy wake Ka angekuwa Githu ningemtoka sandles zake Leo sidai beef sapa nakula sistake Na beat ishamada Kelly twende tukakate Si ni wale mang'aa wa ma ng'ang'o Si ni wale mang'aa wa ma ng'ang'o Si ni wale mang'aa wa ma ng'ang'o Sisi ni mabwana za mabibi zao Si ni wale mang'aa wa ma ng'ang'o Si ni wale mang'aa wa ma ng'ang'o Si ni wale mang'aa wa ma ng'ang'o Sisi ni mabwana za mabibi zao END!!
Writer(s): Marvin Abwao Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out