album cover
Alehandro
album cover
Alehandro was released on September 4, 2021 by Sai Kenya as a part of the album Alehandro - Single
ReleasedSeptember 4, 2021
LabelSai Kenya
BPM89
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Lyrics

Mi nakuita nakuita fundi wa mapenzi leo nataka niufungue moyo kwaako piga guitar zichambue na nyuzi leo nataka nikuimbie ka nyimbo kaako ka moyo kananidunda dunda dunda na jina lako wanitunza kama kinda kinda hoi kifuani mwako zigo limepata punda punda mi nishafika kwako fungua limenye tunda tunda lote baby ni lako….
Umenirambisha(pipi denda) umenifundisha(kukupenda) ukanihitimisha shahaada umenipa x2
CHORUS
Alehandro Alehandro mi nataka ujue bila wee mi sio kitu Alehandro Alehandrooo mi nataka ujue bila wee mi sio kituuu
VERSE 2
Tabasamu lako mahabuba ata macho nikiyafumba naliona aaah (ona ona) my handsome nigande kama rubba penzi lisije yumba sitaki onaa(ona ona) mapenzi yangu hayatimii bila kuwa nawee my boo pacha wako wee ndo mii akili umeharibuu uwapo mbali situlii tuliii nimekuzoea mmmh unavyo nithamini nataka kuwa na wewe tuu…
BRIDGE…..
CHORUS……
Written by: Gie Grace Msafari

Loading...