Music Video

Music Video

Credits

COMPOSITION & LYRICS
Musa Abdallah Kugotwah
Musa Abdallah Kugotwah
Songwriter

Lyrics

Nimekuzwa na kazi ya brigicho
Foka nifoke na nuksi za mabishoo
Ila imani safi kinijiacho
Kikosa safi nikipata kipoza roho
Ulinipa voice na pumzi ya kubreath
Ukanipa ability niweze kurap hata kigreek
Ukanipa fans wakaniita Tricks
Ukanipa na mistari sahii naipanga kama bricks
Mungu baba nipe baraka wapagawe
Nani wa kukupinga unayotaka yawe
Let your will be done si ndo mana waitwa yawe
Kwa ajili yako niko ready kuwa stoned bila mawe ndo
Nikiomba gari usinipe toyota
Nipe Benz nipe bima na ka ni nyumba gorofa
Kilomi kilomita mi staki unipeleke so far
Nifanye mwenye kiti ila kwa ofisi nipe sofa
Nataka tesla nataka pesa niomoke
Kanisani siendi nipe nguvu niokoke
Demu wangu akiwa kisima mpe na maji niyachote
Nimefall kwa maua sama Mungu baba niokote
Ziondoee eeeh niko kwako eeh Mola nasali
Ziondoee eeeh ebu sikia sasa nawali
Ziondoeee eeeeehh niko kwako eeh Mola nasali
Ziondoee eeeh ebu sikia sasa nawali
Nikijuwa nimekukosea nageuka nawa mudi
Napiga goti chini mi natubu nawa gudi
Wasamehe mi najuwa ushawafanyia wayahudi
Nipe iphone Mungu niwavutie waya hoodie
Marafiki wananitenga sababu mi sina jero
Michongo inanisaliti inanipita ka petero
Sa nibariki Mungu mpaka wanione kero
Usisahau na petroli ukinipa ile pajero
Nipeleke further we ndo baba si unajuwa am a son
Nimulike na mwangaza si unajuwa am a sun
Nataka kuwa legend si kingi ama Hassan
Maji ya uhai nipe ninywe nimechoka na dassani
We ndo alpha na omega
Wanipa sima yangu ya kila siku na vidole vya kumega
Ka sijashiba waniongeza
Ndo mana kwa hili beat la Tk Trickide nakupongeza
Ziondoee eeeh niko kwako eeh Mola nasali
Ziondoee eeeh ebu sikia sasa nawali
Ziondeee eeeh niko kwa eeh Mola nasali
Ziondoee eeeh ebu sikia sasa nawali
Si binadamu kazi kutwa mbiombio
Naomba nibariki niondoe hichi kilio
Nile vya nazi nikichemsha sinoni
Dhiki na dhiki na mieeeeeeeeee
Written by: Musa Abdallah Kugotwah
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...