album cover
Inuka
13,209
Christian & Gospel
Inuka was released on June 22, 2015 by Independent as a part of the album Inuka Mteule
album cover
Release DateJune 22, 2015
LabelIndependent
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM83

Credits

PERFORMING ARTISTS
Florence Mureithi
Florence Mureithi
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Florence Mureithi
Florence Mureithi
Songwriter

Lyrics

Inuka, jitie nguvu, simama u mshindi
Tawala, una kibali
Msaidizi wako, yu ndani yako, msaidizi wako, yu ndani yako
Inuka, jitie nguvu, simama umshindi
Tawala, una kibali
Msaidizi wako, yu ndani yako, msaidizi wako, yu ndani yako
Nieleze je mteule, ulivyo na nguvu
Umepewa uwezo kwa roho wa Mungu
Usiwe moyo mteule ufalme ni wako
Umrithi pamoja na Yesu

Nikueleze, hakuachi bwana, hadi mwisho wa dahari
Fungua macho teule uone mbali, giza latoweka, kwapamabazuka
Nikueleze je, hakuachi bwana, hakuachi bwana, hadi mwisho
Fungua macho mteule uone mbali, giza latoweka, kwapamabazuka
Inuka, jitie nguvu, simama umshindi
Tawala, una kibali
Msaidizi wako, yu ndani yako, msaidizi wako, yu ndani yako
Inuka, jitie nguvu, simama umshindi
Tawala, una kibali
Msaidizi wako, yu ndani yako
Inuka, jitie nguvu, simama u mshindi
Tawala, una kibali
Msaidizi wako, yu ndani yako, msaidizi wako, yu ndani yako
Inuka, jitie nguvu, simama u mshindi
Tawala, una kibali
Msaidizi wako, yu ndani yako
Written by: Florence Mureithi
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...