album cover
Niambie
album cover
Niambie was released on October 15, 2021 by Ziiki Media as a part of the album Motion
AlbumMotion
ReleasedOctober 15, 2021
LabelZiiki Media
BPM192
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Lyrics

Hapa nyumbani unajua we njo moyo, jamaa inakupenda piya hauoni (Niambiee)
Unajua nini unataka uende
We dada ukienda na mbali mi nta gonda, safari yako Mbone shida we dada (Niambiee)
Unajua nini unataka uende
We dada ukienda fuata njia ile uta acha watoto
We dada ukienda fuaata njia ile, utanivunja moyo
Umeona machozi ginsi in a shukaa, watoto wetu watabaki na nani
We ndo fuhaha yetu (Baki basi tuongeye)
Baki tukae pamoja mpaka mwisho, najuwa mi sikupe wakati zongeya (Nimabiiee)
Unajua nini unataka uende
We mama ukibeba mapenzi yako mbali, dunia itakuwa giza hanuoni (Niambiee)
Unajua nini unataka uende
We dada ukienda fuata njia ile, utaacha watoto
We dada ukienda fuaata njia iile, utanivunja moyo
Umeona machozi ginsi in a shukaa, watoto wetu watabaki na nani
We ndo fuhaha yetu (Baki basi tuongeye)
We dada ukienda fuata njia ile, utaacha watoto
We dada ukienda fuaata njia ile, utanivunja moyo
Umeona machozi ginsi in a shukaa, watoto wetu watabaki na nani
We ndo fuhaha yetu (Baki basi tuongeye)
Written by: Mukengerwa Tresor Riziki
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...