album cover
Vindu Illegal
album cover
Vindu Illegal was released on October 8, 2021 by Independent as a part of the album Under the Influence
October 8, 2021
LabelIndependent
LanguageEnglish
BPM67
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Lyrics

Si ukuje nikuchome mavitu
Me huchomanga ngware na bado nachoma usiku
Mtaani I'm walking but bado I'm high like a eagle
Utanyongwa na wivu
Mundu Mlosi na vindu illegal
Vindu elite
Amasti the drip
Gold imefunika shingo
Niliwachana na manzi anapenda kuleta maringo
Cause OB I chief with the people
Whole lotta gas
Utadhani ni evil
Tuko maganji
Habari ndio hizo
 Si ukuje nikuivishe magode
Kaa kuna gidhaa itabidi tushike makali mapombe
Macho sifichi ndio watu waone
Me hujenga watu wagonjwa mashada wapone
Si ukuje nikuchome mavitu
Me huchomanga ngware na bado nachoma usiku
Mtaani I'm walking but bado I'm high like a eagle
Utanyongwa na wivu
Mundu Mlosi na vindu illegal
Nachoma in the morning
Nachoma the gas nachoma the foreign
Pack come with a warning
I was getting the benjis and flipping the torrents
Saw a **** in my comments
Ain't even trip he ain't putting the shit in my pocket
Si ukuje like this we smoke on a joint
Kaa kuna ngori you bet I'm the **** you gotta avoid
Ain't gotta choice
The loud in my bag has been making the noise
I'm with the boys
I'm with the gang
Kick it like my name has been Jackie Chan
Ain't gotta chance
Buda tulia umeshaanza kutense
Wacha nikuchome my **** relax
Si ukuje nikuchome mavitu
Me huchomanga ngware na bado nachoma usiku
Mtaani I'm walking but bado I'm high like a eagle
Utanyongwa na wivu
Mundu Mlosi na vindu illegal
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...