Lyrics

Femi, ndio ule Mejja, ndio ule Mejja Si ulikuwa unadai kuchapiana na yeye Ishia, ishia, ishia Rico Beats, Mr. 808 Okwonko pole nimekuja ghafla Usijali Ni vile we' hukuwa umenibamba Aah, Femi one pia kwangu we' ni mso Kwanza vile ulituosha kwa ile verse ya Ligi Soo, eeh Nakupenda manze we' hukuwa mhumble Asanti Legend, kwangu we' ni icon Aah, story za icon kwanza weka mbali Femi One, mi hukuwa nimekutamani Eeh, Okwonko umeanza kunichocha? Aah zii Nishow, ni wapi uliniona? Aah, Femi One Eeh? We' hunibamba, kwa Instagram nikicheki izo mapaja, aah Okwonko na kitambi, utawezana? Ntawezana Nikikupea, utawezana? Ntawezana Manze Femi One nikikupata Nitakupenda ka vile napenda tumbler, ah Okwonko na kitambi, utawezana? Ntawezana Nikikupea, utawezana? Ntawezana Manze Femi One nikikupata Nitakupenda kama vile napenda tumbler Iko, haga yako iko Naipenda ka mke nyumbani na mwiko (Eh-eh) Mejja umeanza kuniflatter (Ah-ah) Unataka kunikula kama platter Ah, iyo kifua nataka kuichambua (Eh) Mi nataka kukulamba mpaka ushindwe kupumua, ah Kidesign umeanza kunibamba Nikikupea usiende kutangaza Iyo ni siri (Wazi) Ka PIN number Sitaambia mtu, sitaambia ata King Kaka Haina noma, leo utanikula Lakini ka ni ndogo usishinde ukikuja Okwonko na kitambi, utawezana? Ntawezana Nikikupea, utawezana? Ntawezana Manze Femi One nikikupata Nitakupenda ka vile napenda tumbler, ah Okwonko na kitambi, utawezana? Ntawezana Nikikupea, utawezana? Ntawezana Manze Femi One nikikupata Nitakupenda ka vile napenda tumbler, ah Napenda machali wako na swagger (Okay) Nikicheki fashion yako, hapana Femi One, hao machali luku-luku Ni luku tu lakini hawana kakitu Ah, nataka kurombosa hadi chini Ah, nataka kuiokota uko chini Ah, napenda kupakwa nikiwa juu Ah, siteti napenda iyo view Fungua bonnet (Okay) Toa screw (Aha) Mbona unanidai? Na usiniambie uongo Ah, nakudai juu umetoka ghetto Na we' ni manzi hardcore Manzi mathongo (Aah) Okwonko na kitambi utawezana Ntawezana Nikikupea utawezana Ntawezana Manze Femi One nikikupata Nitakupenda ka vile napenda tumbler, ah Femi uno Mtoto wa Khadija (Haha)
Writer(s): Dennis Njenga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out