Lyrics

I like that, i like that, i like that Recipe ya Hepi (i like that) Recipe ya Hepi (i like that) Ukinibeba ufala nashuka haraka na jam Juu nangojwa maskani sana kwa hamu na gham Ka wee si besthe damu mi siwezi kuita fam Kuna Maina kwa sherehe mshow anaitwa na mam Juu masaa ni ya hepi chunga masaa ni ya dhambi I'll see what i can do na wababa wa vitambi Kamkopo kalijipa basi leo sichangi changi Juu mixer ni ya remi na pombe za kariobangi Hangover kesho itakuwa ka ya watu wawili Mara moja itabidi nimemeza mara mbili Lakini haidhuru bora vako tuziseti Picha tunachoma sana tu kwa sababu ya hepi Recipe ya hepi, hepiiiii Recipe ya hepi maganji, washkaji, vinywaji ndo recipe ya hepi Recipe ya hepi, hepiiiii Recipe ya hepi maganji, washkaji, vinywaji ndo recipe ya hepi Maundala nanenga kila mundu kile anadai kubuy Itamai kyoivi vyoita namayaufrai Kaketa wakachathe koneya musembi Koneya musembi muya au kile kinatwili tunaidhi mama mabrathe Mkamba na mapoz Circle ilichange naveveka na maboss Nikikam around siunajua how it goes Mi sibrag labda unikuta kwa meno nikifloss Ow dakika mbili tumebonga one hour Tumemake el nino na machampagne showers Tiba ya kuchapa si ni pesa ndio dawa Siri ya kukaa fly si ni pesa ndio mabawa ooow Recipe ya hepi, hepiiiii Recipe ya hepi maganji, washkaji, vinywaji ndo recipe ya hepi Recipe ya hepi, hepiiiii Recipe ya hepi maganji, washkaji, vinywaji ndo recipe ya hepi Hepiiii (i like that) Hepi (i like that) Hepi (i like that) Maganji washkaji vinywaji ndo recipe ya hepi Mmh niko na hanjam True story why lie Nairobi mji wa free wifi Mkristo nameza divai Mi ni hepi till i die Tuko na whose who Yaani nani nani Tunasele madesign ikiingia magizani Ahhh utanipata na boys wangu Unaishi kikuyu leo unalala roysambu Marashi tulishare ulimi major razor Meza yangu ma three aisee beba bebaa Friday tuko na nameless na nonz Remi nyake na supu ya konzzz Recipe ya hepi, hepiiiii Recipe ya hepi maganji, washkaji, vinywaji ndo recipe ya hepi Recipe ya hepi, hepiiiii Recipe ya hepi maganji, washkaji, vinywaji ndo recipe ya hepi Hepi, hepi, hepi Maganji washkaji vinywaji ndo recipe ya hepi
Writer(s): Kennedy Otieno Ombima Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out