Lyrics

Dhahabu records (yeah iih yeah hii) Records (ha aah haa aah) Hiye eeh eeh eeh Nimeamini apangalo mola Huwezi pangua yeye ndiye anaejua Yaani ningejua jinsi alivyokuwa Nisinge jisumbua kumchukua Ubaya sitaki (twende) Dhihaki (kweli) Si rafiki (ubaya sitaki) Nasema sitaki (sitaki), kubaki Mnafiki, rafiki gani mdananda Anapenda ku-bang Hanakazi huyu jamaa Na mastaa kadhaa Wenye jina ndani ya Dar Si nikajaa mi mzawa wa Dar Nikaachwa kwenye mataa Nashaanga na maseke nimezidiwa mang'aa Mashaka yalikuwa kando (ahaa) Nilihisi mchizi bonge la mwana (haaa) Kumbe mgambo Vitani hawezi kushika zana Aah! Kweli kufa kufaana Nimeamini ya leo sio ya jana (Kweli ya leo sio...) Vizuri kufa na ujana Ila life ya Dunia ni tamu sana Hizo sekunde na dakika Bora ningerudi nyuma Niwe bonge la bitozi Hata salamu ningeuchuna Mbio zimegonga ukuta Kusanuka kisha nuka Na matuta nimeruka nimeanguka Siwezi tena nyanyuka Ata ata shabaa Alinitonya wewe ni rafiki Bar Nikapuuza kwa kujawa na mzaa wa kitaa Ghetto la dastamina pia nikalikataa Nilihisi kama nabanwa (kweli nilitoswa...) Wewe niliyekulea ukiumia nafeel pain Mtetezi juu yako kama jeshi la UN Ulidaiwa sikusita kukulipia madeni Leo iweje uniingize mkengeni Nimeamini apangalo mola Huwezi pangua yeye ndiye anayejua Ningejua jinsi alivyo kuwa Nisingejisumbua kumchukua Ubaya sitaki (twende) Dhihaki (wee) si rafiki Ubaya sitaki Nasema sitaki ubaki Mnafiki, rafiki gani mdananda? Nilikuwa ndani ya ghetto Na settle mipango ya kesho Mara ring ring, kucheki alikuwa mwana Story ilikuwa hivi nanukuu michapo Mwanangu sio siri unazari la mentally Kuna binti mtaa wa pili anadai anakukubali Anasema nyimbo zako unajua panga mistari Tajiri hatari wacha tuchume mali Isitoshe anafiga matata hana dosari Leo leo ukienda atakuhonga hata gari Kifupi sijajivunga na pozi zilikimbia Ulofa nilionao mnyamwezi nikajitupia Upendo kasi kama goli la First Tuliishi kwenye bangalo Sio nyumba za guest Shida nilishinda hata kwa manji navimba Kumbe nimepewa goma limepigwa sindimba Yule dada ni muathirika nilitumika bila kinga Na mchizi alishajua na potimba nachinjwa Hee, hee, heee Heee heee hee Nimeamini apangalo mola Hawezi pangua yeye ndiye naejua Ningejua jinsi alivyo kuwa Nisingejisumbua kumchukua Ubaya sitaki (twende) Dhihaki (heee ehe) si rafiki Ubaya sitaki Nasema sitaki (sitaki) ubaki Unafiki, rafiki gani mdananda Mamamamamma Nisingejisumbua kabisa Yeah eeh eeh Demu hafai iiih Dastamina aaeeeeh Dastamina, dastamina Demu hafai Dastamina Eeh demu hafai
Writer(s): Shetta Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out