album cover
Kerewa
16,231
African
Kerewa was released on February 13, 2015 by Ziiki Media as a part of the album Shetta Singles
album cover
Release DateFebruary 13, 2015
LabelZiiki Media
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM111

Credits

PERFORMING ARTISTS
Shetta
Shetta
Vocoder
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Chorus
COMPOSITION & LYRICS
Nurdin Ally Bilali
Nurdin Ally Bilali
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Shetta
Shetta
Executive Producer

Lyrics

Burn Records
Oh oh, oh oh
Wasafi
Clever Touch
Platnumz
It's your boy She-Shetta de Shetta de Shetta
Yo, Baba Kaila
Ha ha
Kaila
Yeah
Kwanza umejazika
Kama mlima kitonga
Hapo mpaka mabitozi wanajigonga
Figure matata na kweli umekwenda skonga
Je napokumiss napu-call tunabonga (Hello)
Hello
We ndio Mamitto (Mitto)
Amini mi ndio Papito (Pito)
Okay
Ah, we ndio Mamitto
Achana nao ya dunia yote mapito (Mmh)
Okay (Yes)
Ah, we ni bonge la demu (Demu)
Hata machizi wamesema bonge la shemu (Shemulake)
Amini we ni bonge la demu
Tupendane tupeane yaani kila sehemu (And that’s wassup)
We ndio Mama Kaila (Kaila)
Of course mi ndio Baba Kaila (Kaila; Yo, Baba Kaila)
Amini we ndio Mama Kaila
Achana nao wanaokufata wote ni mataila (Mmh)
Ha
We ni wangu tuu
Tena waambie, watuache tulale
We ni wangu tuu
Usije niacha, nikachekwa na wale (Ona naimba)
Kerewa, kerewa (Hayaya)
Kerewa, kerewa (Hayaya)
Kerewa, kerewa (Hayaya)
Ah, kerewa
Ayayaya (Ooh)
Kerewa, kerewa (Hayaya; Ah ah, katika)
Kerewa, kerewa (Hayaya; Katika)
Kerewa, kerewa (Hayaya; Okay)
Ah, kerewa (Ha)
Ayayaya (Ooh)
Yo, umenipa nafasi sitaki nikose (Yes)
Sitaki mwendo kasi, sitaki nipote (Mmh-hm)
Changanya kila kitu mpaka nikole (Uh)
Mi ni wako kila siku nipoke, ‘ay
Jua kweli nakupenda mama
Siwezi kukuigiza drama (Mmh-hmm)
Vicheche nawakatalia sana
Na nafurahia pia unabania wana (Mmh-hmm)
Wangawanga wanasema unifai kabisa (Oh oh)
Wanatamani nikuache kwa visa (Oh oh)
Wengine wanataka nikuuze ka hisa (Hey)
Ila mchizinimegoma sikuachi kabisa (Ah ah; Ah, yeah)
We ndio Mama Kaila (Kaila)
Of course mi ndio Baba Kaila (Kaila; Yo, Baba Kaila)
Amini we ndio Mama Kaila
Achana nao wanaokufata wote ni mataila (Mmh)
Ha
We ni wangu tuu
Tena waambie, watuache tulale
We ni wangu tuu
Usije niacha, nikachekwa na wale (Ona naimba)
Kerewa, kerewa (Hayaya)
Kerewa, kerewa (Hayaya)
Kerewa, kerewa (Hayaya)
Ah, kerewa
Ayayaya (Ooh)
Kerewa, kerewa (Hayaya; Ah ah, katika)
Kerewa, kerewa (Hayaya; Katika)
Kerewa, kerewa (Hayaya; Okay)
Ah, kerewa (Ha)
Ayayaya (Ooh)
Ah
Sa usiniumize basi (Hayaya)
Ukanipa wasi wasi (Hayaya)
Ah, kaugonjwa ka nafsi (Hayaya)
Moyo ukanienda kasi (Hayaya)
Sa usiniumize basi (Hayaya)
Ukanipa wasi wasi (Hayaya)
Ah, kaugonjwa ka nafsi (Hayaya)
Moyo ukanienda kasi (Hayaya)
Ah, si unajua
Wenye chuki na hiyana
Wametukania sana
Sana usiku na mchana
Wakiomba kuachana
So usiniumize basi (Hayaya)
Ukanipa wasi wasi (Hayaya)
Na kaugonjwa ka nafsi (Hayaya)
Moyo ukanienda kasi (Hayaya)
Ooh ooh
(Hayaya)
Yo, Baba Kaila
Ha ha (Hayaya)
Yo, Chief Kiumbe
I don't forget, I got my boy Dangote (Hayaya)
Kijumu Stage
Wassup (Hayaya)
Angalia mbele (Burn Records)
Written by: Nurdin Ally Bilali
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...