album cover
Good Bye
21,279
Worldwide
Good Bye was released on August 20, 2015 by Ziiki Media as a part of the album Chege Singles
album cover
Release DateAugust 20, 2015
LabelZiiki Media
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM85

Credits

PERFORMING ARTISTS
Chege
Chege
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Chege
Chege
Songwriter

Lyrics

Yo, T.M.K. y'all
You feel this one
When I close my eyes
Picha yako inajirudia, mama
Na sintosahau, kwa matusi uliyo nimwagia, yeah, yeah
Tena mbele za watu
Bila kujali uzito wa kosa, ah, ah
Bora ungenieleza 'myself ni kama nimekosa, ah, ah
Basi, baby good bye
Tutaonana Mungu akipenda tena
Pale tutakapo kutana, tusiache kusalimiana
Sikutegemea kama siku moja utakuja nitosa ukimbilie kule kwa mwengine
Bora ungekwenda mbali kuliko ulivyo amua kufanya na mshkaji
Ambaye ni mshkaji wa karibu
Ambaye ni rafiki kama ndugu
Ambaye anaye jua tulivyo kuwa, kama Chege Chigunda anakuchukua
[Alhamdullilah], kwa matusi uliyo nitukana
[Alhamdullilah], kwa mabaya uliyo nifanyia
Wala sijasahau 'wema wote nilio kufanyia
Sijasahau mabaya yote uliyo nitendea
Baby, good bye
Kila kitu kina mwanzo na mwisho, mama
Baby, good bye
Hakuna mwanzo usio na mwisho, mama
Kukupenda kote kule
Sikujua ninajisumbua (Ah, ah)
Nabaki nalalamika na moyo wangu bure kuuchoma (Aya)
Mpaka naimba kwa hisia
Basi ujue umenizingua
Washkaji na machizi nakumbuka walivyo niambia
Kama [Music niimbe], nisifate mambo ya dunia tena
Kama kusema waseme, nimepokonywa tonge mdomoni, aya
Kwa jinsi ulivyo fanya, sikupendi
Sikutegemea kama uta-change (Uta-change)
Machizi wote maskani, hawakupendi
Haukufanya fair japo tuli-spend (Tuli-spend)
Sikupendi, sikutegemea kama uta-change
[Alhamdullilah], kwa matusi uliyo nitukana
[Alhamdullilah], kwa mabaya uliyo nifanyia
Wala sijasahau 'wema wote nilio kufanyia
Sijasahau mabaya yote uliyo nitendea
Baby, good bye
Kila kitu kina mwanzo na mwisho, mama
Baby, good bye
Hakuna mwanzo usio na mwisho, mama
Yup!
Ayo, Enrico, ha-ha-ha
Big up yourself, yo
Side Fela, T.M.K. y'all
Chege Chigunda
Chigunda, Chigunda
Yo, Chege Chigunda, ah
Chigunda, Chigunda, yo
Written by: Chege
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...