Lyrics

Hey hey, he.y Band Beca (It's Hamado on the Beat) Hisia zangu aah Zanikumbusha huyu jamaa Na huu mwili wangu aaah Unatamani kushikwa shikwa Nilizoea, mapenzi yako Hayo matamu Na nilizoea Ujuzi wako wa kistaarabu Aaah! Mapenzi yetu yaliyonawiri Aaah! Lakini sasa umbali na mimi Naumia, naumia Nikikumbuka mi nalia Naumia, naumia Nikikumbuka mi nalia Aii mi inaniuma Kindani ndani, kindani ndani Nimejawa majuto Kindani ndani, kindani ndani Aii mi inanichuna Kindani ndani, kindani ndani Nimejawa majuto Kindani ndani, kindani ndani Sikudhania ungempenda mwingine Sikutarajia ungenisahau mimi Au ningeomba nafasi tuzungumze beiby Ningepata nafasi nafsi yangu itulie Aaah! Mapenzi yetu yaliyonawiri Aaah! Lakini sasa umbali na mimi Naumia, naumia Nikikumbuka mi nalia Naumia, naumia Nikikumbuka mi nalia Aii mi inaniuma Kindani ndani, kindani ndani Nimejawa majuto Kindani ndani, kindani ndani Aii inanichuna Kindani ndani, kindani ndani Nimejawa majuto Kindani ndani, kindani ndani Kindani ndani, kindani ndani Oooh ninaumia Kindani ndani, kindani ndani Oooh ninateseka, ooh beiby Kindani ndani, kindani ndani Kindani ndani, kindani ndani Oooh mimi nalia Kindani ndani, kindani ndani Oooh rudi nyumbani (A Naiboi Worldwide)
Writer(s): Michael Kennedy Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out