Lyrics

Mungu na watu wake Haachi watu wake Ooh watu Haachi watu wake Mother fulani, amekopa pesa fulani Achangishe alishe watoto wa jirani Yeeh, ouuh Buda fulani, ametoka base fulani Na worry yake ni asibambwe na maaskari (Some are protected some are not) Kuna Ras fulani amekamatwa na mume wa fulani Excuse ya bibi ni mavijana hawalalangi Randa inapigwa safi bro So what is love Question marks when its right there on your face So what is love Question marks when its right there on your face On your face(it is what it is) Oooh watu wake Haachi watu wake Mungu na watu wake Haachi watu wake (Sir Jah) na watu wake Haachi watu wake Mungu na watu wake Haachi watu wake It is what it is It is what it is Nigaa fulani, amevuka na kashamba ka fulani Na anakana mbele ya nchi hadharani Manzi fulani, amekula fare fulani Na vile boychild amejipanga hapa nyumbani (Tusidanganyane) Najua kura fulani, zitapigwa na watu fulani Matokeo itaonyesha mtu fulani (Nikama hatuna say no more) So what is love Question marks when its right there on your face So what is love Question marks when its right there on your face (It is what it is) Oooh watu wake Haachi watu wake Mungu na watu wake Haachi watu wake (Sir Jah) na watu wake Haachi watu wake Mungu na watu wake Haachi watu wake It is what it is It is what it is
Writer(s): Michael Kennedy Claver Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out