album cover
Happy (feat. Kambua)
album cover
Happy (feat. Kambua) was released on November 28, 2018 by Mr Seed / Kambua as a part of the album Happy (feat. Kambua) - Single
ReleasedNovember 28, 2018
LabelMr Seed / Kambua
LanguageEnglish
BPM103
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

[Intro]
Oh Lord umenipenda sana we ni mwema
Oh Lord umenishika moyo siwezichoka
[Chorus]
I'm happy, happy ya kwamba nimeokoka leo
I'm happy, happy, ya kwamba nimempata Yesu
I'm happy, happy ya kwamba nimeokoka leo
I'm happy, happy, ya kwamba nimempata Yesu
[Verse 1]
How I love you Lord
Ulinipenda kwanza kabla nikupendee
How I love you Lord na shida zangu umeshazipiga teke
How I love you, nashindwa hata jambo la kusema
How I love you, maisha yangu umekamilisha
[Verse 2]
Watu walinichanganya-changanya, wakakoroga-koroga
Wakasema dunia inatosha
Watu walinichanganya-changanya, wakakoroga-koroga
Wakasema wokovu haiwezi
[PreChorus]
Nimependwa na Yesu oh
Nimeonja utamu oh
Nimependwa na Yesu oh
Nimeonja utamu oh
[Chorus]
I'm happy, happy ya kwamba nimeokoka leo
I'm happy, happy, ya kwamba nimempata Yesu
I'm happy, happy ya kwamba nimeokoka leo
I'm happy, happy, ya kwamba nimempata Yesu
[Verse 3]
Ningekuwa wapi wapi
Kama sio kwa upendo wako Yesu?
Ningekuwa wapi-wapi
Na hapa nilipo ni kwa neema yako
I say thank you I'll walk with you forever, till I die
[Verse 4]
Love you, that's my desire
I love you, and that is my desire
Umenituliza roho
I wanna love You more
Umenituliza roho
I wanna love you more and more
[PreChorus]
Nimependwa na Yesu oh
Nimeonja utamu oh
Nimependwa na Yesu oh
Nimeonja utamu oh
[Chorus]
I'm happy, happy ya kwamba nimeokoka leo
I'm happy, happy, ya kwamba nimempata Yesu
I'm happy, happy ya kwamba nimeokoka leo
I'm happy, happy, ya kwamba nimempata Yesu
[Outro]
Nimependwa na Yesu oh
Nimeonja utamu oh
Nimependwa na Yesu oh
Nimeonja utamu oh
Written by: Mr Seed

Loading...