Music Video

Featured In

Credits

COMPOSITION & LYRICS
Samwel Sakwa Otundo
Samwel Sakwa Otundo
Songwriter

Lyrics

Mahabuba kipenzi Roho yangu mie Kwako ni kipi nitake Nisikose mie Umeniroga kimapenzi Kwako bwege mie You ma future ma babe haayee Huwaga najiuliza Mbona hukuwepo zama Niliumizwa mapenzi yakakosa maana Huwaga najiuliza Mbona hukuwepo zama Haki niliumizwa Mapenzi yakakosa maana heeeh ee Ona sasa life imekua best Napikiwa nashiba kishenzi Yaani maisha raha bila stress Mambo shwari loveness Ona sasa life imekua best Napikiwa nashiba kishenzi Yaani maisha raha bila stress Mambo shwari loveness Sina ujanja Sina ujanja Sina ujanja Mimi kwako nyang'a nyang'a Sina ujanja Sina ujanja Sina ujanja Sema chochote my love Na mimi nakupenda sana aah Kwako mi ndio nishagada aah Utaumizwa sana na sio kila siku ooh Utanyanyaswa sana na sio kila siku ooh Ona sasa life tuko best 24/7 smile kwenye face Haya maisha haya ndo best ooh ohh Ona sasa life tuko best 24/7 smile kwenye face Haya maisha haya ndo best ooh ohh Sina ujanja Sina ujanja Sina ujanja Mimi kwako nyang'a nyang'a Sina ujanja Sina ujanja Sina ujanja Sema chochote my love Wambieni wapambe twapendana Marufuku kutengana Mimi nae twashibana haaeee Mimi Kwako firsty wangu mie Ya kwetu nafasi nipatie Utamu wa nanasi nijilie Coz am crazy for your love Sina ujanja Sina ujanja Sina ujanja Mimi kwako nyang'a nyang'a Sina ujanja Sina ujanja Sina ujanja Sema chochote my love Sina ujanja Sina ujanja Sina ujanja Mimi kwako nyang'a nyang'a Sina ujanja Sina ujanja Sina ujanja Sema chochote my love
Writer(s): Samwel Otundo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out