Credits
PERFORMING ARTISTS
Mike Song
Performer
Michael James Songoro
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Edson Brown Lungo
Composer
Michael James Songoro
Songwriter
Lyrics
Ooh Loh! loh! loh! loh! loh! loh! Eeee Aaaeee Oh loh loh looooh!
Aaaaa Aaaaa Aaaaa Saluni ya Mama Kimbo .
Aaaaa Aaaaa Aaaaa Saluni ya Mama Kimbo . Aaaaa Aaaaa Aaaaa Saluni ya Mama Kimbo . Aaaaa Aaaaa Aaaaa Saluni ya Mama Kimbo .
Ooh Sihami! sihami! mtaani kwetu Sihami!
Kwa ninayoona Uswahilini sihami.
Zipo saluni kibao hapa mjini najua Mama! Hapa mjini najua
Ila ya Mama Kimbo inanichosha mwenzenu mimi. Inanichosha mwenzenu.
Uchawi mambo ya kutisha aisee, Unafiki kila kukicha bwana wee, Umbea wa kufitinisha ujionee, Usaliti bila kuficha Aee.
Saluni yenye vibweka sijawahi ona Eeee Eeee! Hatuna budi kucheka kwa Tunayoona Eee Eeeee!
Biashara zote haramu ,Kwa Mama Kimbo.
Ukitaka tambo mwendokasi ,Kwa mama Kimbo. Jichunge utaibiwa ,Kwa mama kimbo.
Cheche madada poa ,Kwa Mama Kimbo.
Aaaaa Aaaaa Aaaaa Saluni ya Mama Kimbo .
Aaaaa Aaaaa Aaaaa Saluni ya Mama Kimbo . Aaaaa Aaaaa Aaaaa Saluni ya Mama Kimbo . Aaaaa Aaaaa Aaaaa Saluni ya Mama Kimbo
Mama Kimbo ,Mama kimbo. Mama kimbo ,Mama kimbo. Mama Kimbo ,Mama kimbo. Mama kimbo ,Mama kimbo.
Ndio kiwanda cha majungu watu kugombanishana ,Saluni kwake uyoooo! Biashara ya Kudanga danga na watu wanapishana ,Saluni kwake uyoooo!
Mara stori za umbea nani kafumaniwa jana,
Mara ugomvi wa madada kwa kugombania mabwana.
Utapeli ulopitiliza ,usipokua makini cha kike watakuingiza. Yaani Vibweka Loh! loh! loh! looooooh! Aeeee!
Biashara zote haramu ,Kwa Mama Kimbo.
Ukitaka tambo mwendokasi ,Kwa mama Kimbo. Jichunge utaibiwa ,Kwa mama kimbo.
Cheche madada poa ,Kwa Mama Kimbo.
Written by: Edson Brown Lungo, Michael James Songoro

