album cover
Hashikiki
270
Afro-Pop
Hashikiki was released on January 21, 2022 by Kali Music Records as a part of the album Hashikiki - Single
album cover
Release DateJanuary 21, 2022
LabelKali Music Records
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM114

Credits

COMPOSITION & LYRICS
Jambia Masudi Mwatajiri
Jambia Masudi Mwatajiri
Songwriter
Jonathan Chapuis
Jonathan Chapuis
Songwriter
godfrey mwamakula
godfrey mwamakula
Songwriter

Lyrics

Black Ray, chiii, ah ah ah ah, kiriii
Hashikiki, (Hashikiki)
Hashikiki (Hashikiki)
Hashikiki anayumba na bia yakupewa
Hashikiki, (Hashikiki)
Hashikiki (Hashikiki)
Hashikiki, bia mbili tehari ameshaa lewa
Hum, analewa kwa pesa zako
Ziki panda anarusha matusi
Anasifa kwa meza yako
Bill iki fika anapiga nduki
Anarikaka, anapenda anapenda ushindani (oohoo)
Anavyo kata, utatoka hata kama ukizimbani (wee)
Anacheza shaku
Shaku shaku shaku (aiyeye)
Anacheza amapiano, amapiano
Anacheza shaku
Shaku shaku shaku (aiyeye)
Anacheza amapiano, a-a-amapiano
Hashikiki, (Hashikiki)
Hashikiki (Hashikiki)
Hashikiki anayumba na bia yakupewa
Hashikiki, (Hashikiki)
Hashikiki (Hashikiki)
Hashikiki, bia mbili tehari ameshaa lewa
Ayumba yumba, migandisho ya roboti (ah aroboti)
Cheza na rumba, hadi ushike na magoti (ah magoti)
Ay sheshe, aisheshe sheshe sheree
Ay sheshe, aisheshe sheshe sheree
Anacheza shaku
Shaku shaku shaku (aiyeye)
Anacheza amapiano, amapiano
Anacheza shaku
Shaku shaku shaku (aiyeye)
Anacheza amapiano, a-a-amapiano
Hashikiki, (Hashikiki)
Hashikiki (Hashikiki)
Hashikiki anayumba na bia yakupewa
Hashikiki, (Hashikiki)
Hashikiki (Hashikiki)
Hashikiki, bia mbili tehari ameshaa lewa
Hashikiki, (Hashikiki)
Hashikiki (Hashikiki)
Hashikiki anayumba na bia yakupewa
Hashikiki, (Hashikiki)
Hashikiki (Hashikiki)
Hashikiki, bia mbili tehari ameshaa lewa
Hehe, lazima mnamjua mtu kama huyu
Visenti kidogo, pombe pombe eh pombe pombe pombe pombe eh pombe pombe pombe
Written by: Jambia Masudi Mwatajiri, Jonathan Chapuis, godfrey mwamakula
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...