album cover
Sifa
42
Christian & Gospel
Sifa was released on January 28, 2022 by Independent as a part of the album Nuru - EP
album cover
Release DateJanuary 28, 2022
LabelIndependent
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM168

Credits

Lyrics

Njooni tumwimbie
Bwana wa mabwana
Kwa shangwe na sifa
Mbele zake
Yeye ni Mungu
Mungu mkuu
Ni bwana wa mabwana
Mungu mtukufu
Njooni tumwimbie
Bwana wa mabwana
Kwa shangwe na sifa
Mbele zake
Yeye ni Mungu
Mungu mkuu
Ni bwana wa mabwana
Mungu mtukufu
Hakuna wa kuabudiwa
Ila ni wewe bwana
Mungu wa mbinguni
Sifa heshima
Ni kwako bwana
Mungu wa milele
Nitakuimbia Bwana
Kwa furaha Mimi
Maana umenipa uzima wa milele
Maana fadhili zako kwangu
Ni kuu Sana
Wewe u mwaminifu Bwana
Maishani mwangu
Nitakuimbia Bwana
Kwa furaha Mimi
Maana umenipa uzima wa milele
Maana fadhili zako kwangu
Ni kuu Sana
Wewe u mwaminifu Bwana
Maishani mwangu
Nimejawa sifa
kinywani mwangu
Nikuimbie nyimbo
Bwana wangu
Umenipa nguvu nikutukuze
Nizitangaze kote rehema zako
Kinywa kimejaa sifa
Mikono inafanya kazi yako Bwana
Na macho yangu
Yashanga ukuu wako
Umetukuta unastahili sifa
Hakika bwana wewe ni mkuu Sana
Umejaa upendo ewe Mungu
Umetukuta Sana
Kwa uliyotenda
Nitakuimbia
Kwa moyo wangu bwana
Na ni kushukuru
Nitakuimbia Bwana
Kwa furaha Mimi
Maana umenipa uzima wa milele
Maana fadhili zako kwangu
Nikuu Sana
Wewe u mwaminifu Bwana
Maishani mwangu
Nitakuimbia Bwana
Kwa furaha Mimi
Maana umenipa uzima wa milele
Maana fadhili zako kwangu
Nikuu Sana
Wewe u mwaminifu Bwana
Maishani mwangu
Nitakuimbia Bwana
Kwa furaha Mimi
Maana umenipa uzima wa milele
Maana fadhili zako kwangu
Ni kuu Sana
Wewe u mwaminifu Bwana
Maishani mwangu
Nitakuimbia Bwana
Kwa furaha Mimi
Maana umenipa uzima wa milele
Maana fadhili zako kwangu
Ni kuu Sana
Wewe u mwaminifu Bwana
Maishani mwangu
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...