album cover
Sazile
album cover
Sazile was released on December 3, 2020 by Gondwana as a part of the album Sazile - EP
December 3, 2020
LabelGondwana
BPM89
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Lyrics

[Verse 1]
Sozi Sozi Sozi eh sikia
Sozi Sozi we usinyamaze
Moyoni naumia, moyoni nimekatwa
Kweli sina raha mmh
[Chorus]
Labda siku, labda siku yaja
Labda siku labda siku yaja
Tutapenda tena, tutakuwa tena
Moyoni tuwe pamoja
[Verse 2]
Kwani Kenya mpenzi mbona tuko mbali
Mbona hivyo labda labda tufe wote
Tutapenda tena, tutakuwa tena
Bora tufe wote ooh mama
[Chorus]
Sazile, sazile
Sazile, sazile
Sazile, sazile
Sazile, sazile
[Verse 3]
Ukiniota mpenzi wanipata
Ukiniota mpenzi nakupata
Ukiniota mpenzi nakuhisi
Ukiniota mpenzi uko pale
[Chorus]
Sazile, sazile
Sazile, sazile
Sazile, sazile
Sazile, sazile
[Verse 4]
Nakutaka kila wakati mama
Sina nguvu bila wewe mama
Sina uhai bila wewe mi siwezi
Mi na wewe wee hadi kufa
[Verse 5]
Tamati natia nanga mwisho wa safari nimefika mama
Moyo wangu wapiga konde nimechoka mpenzi
Tutapenda tena hadi mwisho, tutakuwa tena hadi mwisho
Bora tufe wote hadi mwisho
[Verse 6]
Kama ni wewe mboni ya macho yangu
Kama ni wewe moyo wa moyo wangu
Tutapenda penda hadi mwisho, tutakuwa tena hadi mwisho
Bora tufe wote hadi mwisho
[Verse 7]
Kama ni wewe mboni ya macho yangu
Kama ni wewe moyo wa moyo wangu
Tutapenda tena hadi mwisho, tutakuwa tena hadi mwisho
Bora tufe wote hadi mwisho
Written by: Kato Change, Suraj Mandavia, Winyo
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...