Lyrics

Niseme nini Baba Niseme nini Baba eh Niseme nini Baba Kwa yote nashukuru Amani umenipa Furaha umenipa Umenijaza utulivu moyoni Kwa yote nasema asante Wanilinda usiku mchana Wanivika wanilisha Niseme nini mimi Kwa yote nasema asante Familia umenipa Marafiki kanibariki nao Niseme nini tena Baba nasema asante Mara ngapi nimekosea Na bado ukanisamehe Kwa Neema na Fadhili zako Baba nasema asante Haya ngapi umeniponya Vita vingi umenipigania Ya kusema ni mengi Baba nashukuru Nikienda waendana nami Nikilala bado uko nami Niseme nini mimi Kwa yote, mimi nasema Asante Asante Asante Baba asante Asante Asante Asante Baba asante Asante Asante Asante Baba asante Kimbilio Kimbilio Kimbilio La maisha yangu Kimbilio Kimbilio Kimbilio La maisha yangu Kimbilio Kimbilio Kimbilio La maisha yangu Sifa ni zako Sifa ni zako Sifa ni zako Sifa ni zako Sifa ni zako Sifa ni zako Sifa ni zako Sifa ni zako Sifa ni zako Sifa ni zako Sifa ni zako Sifa ni zako Usifiwe Usifiwe Usifiwe Usifiwe Usifiwe Usifiwe Usifiwe Usifiwe Usifiwe Usifiwe Usifiwe Usifiwe Usifiwe Usifiwe Usifiwe Usifiwe
Writer(s): Elie Bahati Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out