album cover
Ndo Mana
5,527
Afro-Pop
Ndo Mana was released on February 25, 2022 by Ziiki Media as a part of the album Fundi
album cover
AlbumFundi
Release DateFebruary 25, 2022
LabelZiiki Media
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM104

Music Video

Music Video

Credits

Lyrics

[Verse 1]
Nakesha nikihesabu nyota, labda masiku yajongee
Nikiota eti nitaokota ile radha ni miee
Kwa jihadi nishindane nikirejesha kilichopotea
Nikose chongo mimi, kwa kengeza niende komea
Night mwili wa (Baridi-baridi), pembeni shahidi nani
Baki mabua mahindi-mahindi, shambani nimecheka na nyani
[Verse 2]
Mi sio msiba sio wa heri, niseme mi kwa kejeli
Machinga kaachwa feri, matanga basi kwa herii
[Chorus]
Tukaachana, ndo mana, ndo mana
Ndo mana (Inauma sana-sana)
Ndo mana, ndo mana
Ndo mana (Inauma sana-sana)
[Verse 3]
Mwana pori kulikosa shina, kulikosa jina aibu kwa nani?
Tabia za mwinyi mpeku, yaani asili ni chetu
Nijitose nitange-tange kwa nani, nipate nini?
Pombe naikataa kwa imani, nahisi majini
[Verse 4]
Kikazi nisiye na kazi, sipandi ngazi hukujali
Huu my imani mi sina zari
Night mwili wa baridi-baridi
Pembeni shahidi nani
Baki mabua mahindi-mahindi
Shambani nimecheka na nyani
Mi sio wa msiba sio wa heri
Niseme mi kwa kejeli, mchinga kaachwa feri
Matanga basi kwa herii
[Chorus]
Tukaachana, ndo mana, ndo mana
Ndo mana (Inauma sana-sana)
Ndo mana, ndo mana
Ndo mana (Inauma sana-sana)
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...