album cover
Nidonoe
2,087
Afro-Pop
Nidonoe was released on February 25, 2022 by Ziiki Media as a part of the album Fundi
album cover
AlbumFundi
Release DateFebruary 25, 2022
LabelZiiki Media
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM

Music Video

Music Video

Credits

Lyrics

[Chorus]
I want to touch your body (Nidonoe)
I want you baby (Nidonoe)
Oyah whine for me (Nidonoe)
Asa nyonga baby (Nidonoe)
Twende mpaka chini (Nidonoe)
Nataka be my baby (Nidonoe)
Na anang'ara bikini (Nidonoe)
Mpaka kwenye begi (Nidonoe)
[Verse 1]
Naweka nukta aah na kibanda najenga
Bondi duka na vi-cent vya mpemb
Alivyo binuka, na mvalia kiremba
Amechanuka, nakabananisha chemba
[Verse 2]
Iyo lips Anjelina Jolie, your African lady
Kasura ka-kihindi kama kachori (Chori)
Hana mambo ya kienyeji
[PreChorus]
Mtamu ka kiporo ooh! (Mayo ooh! anakisokota)
Anafinya gogoro (Mayo ooh! anakisokota)
Ananichezesha ndombolo (Mayo ooh! anakisokota)
Miuno fulani ya kipogolo (Mayo ooh! anakisokota)
[Chorus]
I want to touch your body (Nidonoe)
I want you baby (Nidonoe)
Oyah whine for me (Nidonoe)
Asa nyonga baby (Nidonoe)
Twende mpaka chini (Nidonoe)
Nataka be my baby (Nidonoe)
Na anang'ara bikini (Nidonoe)
Mpaka kwenye begi (Nidonoe)
[Verse 3]
Risasi kama mia namimina ee! (Eeh! namimina)
Kifo cha mende namimina ooh! (Ooh! namimina ooh)
Una nying'inyiga kwa michezo yako
Na ulivyo na figa nimefika kunako
[Bridge]
Yani kimanumanu (Kiwewe eeh!)
Unanirukisha na (Seng'enge)
Nimepandwa na hamu (Nalega)
Hebu saula (Hilo tenge)
[PreChorus]
Mtamu ka kiporo ooh! (Mayo ooh! anakisokota)
Anafinya gogoro (Mayo ooh! anakisokota)
Ananichezesha ndombolo (Mayo ooh! anakisokota)
Miuno fulani ya kipogolo (Mayo ooh! anakisokota)
[Outro]
I want to touch your body (Nidonoe)
I want you baby (Nidonoe)
Oyah whine for me (Nidonoe)
Asa nyonga baby (Nidonoe)
Twende mpaka chini (Nidonoe)
Nataka be my baby (Nidonoe)
Na anang'ara bikini (Nidonoe)
Mpaka kwenye begi (Nidonoe)
[Outro]
Muhuni nakaba mpaka penati (Nakamia o, nakamia)
Mpira wa kona napiga dochi (Nakamia o, nakamia)
Utautafuta hata kwa tochi (Nakamia o, nakamia)
Nimepata mijuzi namwaga pochi (Nakamia o, nakamia)
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...