album cover
Dam Dam
album cover
Dam Dam was released on February 28, 2022 by Sixxtune Africa as a part of the album Daktari Wa Mapenzi - EP
February 28, 2022
LabelSixxtune Africa
BPM100
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

Meck
Hatuishi kuwa na mission
Ku-push Range Rover
Hatuishi kuwa na vision
Penzi 'ku-take over
Ukitucheki pamoja
Wawili kama soldier
Tushavuka ma border
Sumu kwetu uoga
Kama Romeo na Julieth
Beki hazikabi
Nimetaradadi 'mahabuba
Umenifanya nitulie
Umenivika taji
Full charge 'mavumba
Uh
Kwanza uko simple
Ninakukamatia
Kitandani diko 'ninajisevia (Woo!)
Parapirito 'weka mara mia
Mwaga ma piko, 'ukilia, lia
Utamu wa penzi, 'sukari, asali, hatari
Mm
Mmm
(?)
Niko hapa moyo nimetulia, ah
Sio sarafu 'ila ni upendo umenikimbiza, ah, ah
Mbio, aah
Mbio, my baby
Mbio
(Mm, mmm)
Mbio, baby
Ah, ah, aah
Ah, ah, aah
Ah, ah, aah
Ah, ah, aah
Yeah, uh
Tulipotoka local
Maisha ya kuigiza
Ubishi, changamoto
Tuna dunduliza
Tumepitia msoto, now tunakimbiza
To-to-ri-toto
Bata twende Ibiza
Uh, nuru yako iangazapo kwangu ishara ya uzima
Watafute dunia nzima wa kukuzidi hakuna
Toa past weka present
We ndio vice 'mi ndio president
Uko good kwenye Industry
Uko good kwenye price, uh
Una shepu matata ka Linna
We ndio wangu Kinasha, Carolina
Ukiniacha nitadata 'Sarafina
Njoo tucheze chakacha na-na-ni-na
Utamu wa penzi, 'sukari, asali, hatari
Mm
Mmm
(?)
Niko hapa moyo nimetulia, ah
Sio sarafu 'ila ni upendo umenikimbiza, ah, ah
Mbio, aah
Mbio, my baby
Mbio
(Mm, mmm)
Mbio, baby
Ah, ah, aah
Ah, ah, aah
Ah, ah, aah
Ah, ah, aah
Ah, ah, aah
(Instrumentals)
Written by: Lameck Gunda
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...