Credits

PERFORMING ARTISTS
Sudi Boy
Sudi Boy
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Sudi Mohammed
Sudi Mohammed
Songwriter

Lyrics

Ananipa bila ya kesi
Nacheza mechi bila jezi
Toto lawama, akichutama
Toto dimanga, nitamanga
Nikiwa waba
Toto lawama, akichutama
Toto dimanga nitamanga
Nikiwa waba, nitamanga
Nikiwa jaba
Odi Wa Murang'a nathobotha
Morigo, kiboko Iko bigi kata
Kula magego, sijui ni kanyeri
Ama leo gichogio, na mimi nitachimba iyo gishagi oo
Nunu Iko bushy, enda ufyeke kwanza
Ita mutu ya nduthi na uteme jaba kwanza
Hii kilalo ya juzi
Chuki supu ya mala
Mi kizazi cha juzi Kwa hivyo mbichwa na mabanger
Mtoto si ana turi ni ka amebebea
Kijiji, kukaza sana kunyi ni ka
Amemeza firimbi, naona mbili mbili ni ka nimegushya fagi
Kumangana sana chuma ishamwaga rangi
Ananipa bila ya kesi
Nacheza mechi bila jezi
Toto lawama, akichutama
Toto dimanga nitamanga
Nikiwa waba
Toto lawama, akichutama
Toto dimanga nitamanga
Nikiwa waba, nitamanga
Nikiwa jaba
Mbus Mbus ako taki ya mjulus aah
Juju imebaki guru aah
Nyanya kwanza kimauru hadi
Mtoto bana atatoa ushuru
Na ni vuum, washa kishada ndani
Ya mooti na ni dooom
Mammbaru Kwa giza wakukembe
Kukichum, nyanya kabisa ubonde sura ka cartoon
Wasupa wameseswa na mamorio ni magoon
Chura atokwe hadi abaki amefyum
Athoshwe na kimiti hadi abaki map2
Kemba msupa Niko pin na kidungi mbleina mtungi, anza kivumbi
Ananipa bila ya kesi
Nacheza mechi bila jezi
Toto lawama, akichutama
Toto dimanga nitamanga
Nikiwa waba
Toto lawama, akichutama
Toto dimanga nitamanga
Nikiwa waba, nitamanga
Nikiwa jaba
Ameweka lawama venye ameinama
Anapiga nduru ju already imezama
Toto ako fity anapenda kata waba
Usiku mchana mchuma unalala aluta na jaba
Kutuna ufaya mashuka marasa, kushuka kurushwa
Janki wako wengi, kuwatoka kuwafurusha
Kuguza kapusa kunusa kunuka
Katambe kalambe, kamange katage
Kajunior katakuja katakua kikusa
Kataitwa Njeri ama Tasha ama Lisa
Fisi wafisi katasema kameriswa
Ananipa bila ya kesi
Nacheza mechi bila jezi
Toto lawama, akichutama
Toto dimanga nitamanga
Nikiwa waba
Toto lawama akichutama
Toto dimanga nitamanga
Nikiwa waba, nitamanga
Nikiwa jaba
Written by: Sudi Mohammed
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...