Credits

PERFORMING ARTISTS
Vall Wambo
Vall Wambo
Performer
ruth k
ruth k
Performer
COMPOSITION & LYRICS
mulamwah
mulamwah
Songwriter

Lyrics

Leo ni kujipa Raha
Kusahau shida balaa
Tuko na ma member (aaah)
A time to remember (aaah)
Ita akina Wambo
Pia akina Deno
Usiite mambleina
Tabia za kukera
Ita akina Brayo
Waambie Kuna form
Kwa ile clabu
Hukoo nyuma ya chuom
Na lazima ibambe
Leo lazima ibambe
Na lazima ibambe
Leo lazima ibambe
Niku sere serereka
Sere serereka sere serereka
Na lazima ibambe
Na lazima ibambe
Nasema One for the party (party)
Two for the money
Three for the honey ha ha
For for the flow
Six for the doh
Seven for the show
Eight for
(mulamwa entertainment)
Mnanitafuta hamnipati
Hii weekendi nikuparty
Leo mpaka tamati
Mmmmh
Kuna show ya willy willy
Mkuje wa wili wili
Na msilete mapimbi pimbi
You Gerrit?
If you don't Gerrit Eeehe
Forget about it Eeehe
If you don't Gerrit
Eeehe forget abourrrit
Ita akina Brayo
Waambie Kuna form
Kwa ile clabu
Hukoo nyuma ya chuom
Na lazima ibambe
Leo lazima ibambe
Na lazima ibambe
Leo lazima ibambe
Niku sere serereka
Sere serereka sere serereka
Na lazima ibambe
Na lazima ibambe
Written by: mulamwah
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...