Lyrics

[Verse 1]
Sitaki mapressure
Niko busy kila siku saka pesa
Kwa mitaa si unajua tunatesa
They should know it's our Afrikan Nature
Sitaki mapressure
Niko busy kila siku saka pesa
Kwa mitaa si unajua tunatesa
They should know it's our Afrikan Nature
[Verse 2]
Jifunze kubisha mlango
Juu jamaa anaeza kua akinyonga mgambo
Kejani ye ni Rambo
Lakini bibi yake anapenda Comando
Na hii life ni gamble you never know kesho so cheza humble
Na usikae tu hapo ukijihurumia we furahia yako
[Chorus]
Sitaki mapressure
Niko busy kila siku saka pesa
Kwa mitaa si unajua tunatesa
They should know it's our Afrikan Nature
Sitaki mapressure
Niko busy kila siku saka pesa
Kwa mitaa si unajua tunatesa
They should know it's our Afrikan Nature
[Verse 3]
Kuna siku za kudandianga nganya
Na kuna siku za kugonya manyanga
Na kuna siku za kuwaombanga number
Na kuna siku tu wanakupatianga
Oh Maulana (Maulana)
Aliumba wasichana
Na watesa usiku na mchana
Oh mama ni nini tutafanya
Na hizi mapressure
[Chorus]
Sitaki mapressure
Niko busy kila siku saka pesa
Kwa mitaa si unajua tunatesa
They should know it's our Afrikan Nature
Sitaki mapressure
Niko busy kila siku saka pesa
Kwa mitaa si unajua tunatesa
They should know it's our Afrikan Nature
[Verse 4]
Nahustle kuget money
Nahustle to get paid
Wananiita Big Dzaddy
I do it in many ways
Sitaki mapressure
Move, get out my way
Mister miradi
Kwa hii beat, me radi
[Verse 5]
Niko kwenye radio and on your stereo
Na kwenye video ndio utanicheki yo
Sitaki maprr (Sitaki pressure)
Nataka maching (Nataka macheda)
[Chorus]
Sitaki mapressure
Niko busy kila siku saka pesa
Kwa mitaa si unajua tunatesa
They should know it's our Afrikan Nature
Sitaki mapressure
Niko busy kila siku saka pesa
Kwa mitaa si unajua tunatesa
They should know it's our Afrikan Nature
[Outro]

Written by: Kenneth Muya Mukhwana, Mordecai Mwini Kimeu, OSCAR WAIYAKI, Wachira Gatama
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...