Credits

PERFORMING ARTISTS
Gudah Man
Gudah Man
Vocals
NDONJI
NDONJI
Vocals
H_art the Band
H_art the Band
Performer
PHYL KANGONGO
PHYL KANGONGO
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
PHYL KANGONGO
PHYL KANGONGO
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
OSCAR WAIYAKI
OSCAR WAIYAKI
Producer

Lyrics

Intro - Gudah
Gaaang!
It’s a Party Time
H_art The Band
Are you ready
1, 2, Kelele Kelele
Chorus
Kelele kelele kelele kelele
Leo tunaleta
Kelele kelele kelele kelele
Dj ongeza hewa
Verse one - Ndonji
Mi mkali ka pilipili
Mistari zangu safi zinasafisha akili Hata bila koti ninabamba mawakili Kimwili sijakonda nimenona kiakili
Usitafute bassman juu nishaawasili Kila time Niko area kama sajili
Hii ni Mali asili
Sio vitu silly
Mi mtamu labda tu nibonge na asali Kama kuku ni ndege basi samaki ni meli
Chorus
Sina time sina time sina time
Ya kupoteza
Mida mida zetu zimefika
Dj MadLion hewa ongeza
Sina time sina time sina time
Ya kupoteza
Mida mida zetu zimefika
Dj MadLion hewa ongeza
Verse two - Phyl the Kangogo
Maisha ni majira
Leo kuna jua kesho kuna mvua Hata mchezo wa mpira
Leo unashinda kesho unashindwa Tumekuja ka tushaachoma
Leo hapa sisi ndio macustomer Na mifuko zimeshonashona
Waiter unatuweka
Chorus
Sina time sina time sina time
Ya kupoteza
Mida mida zetu zimefika
Dj MadLion hewa ongeza
Sina time sina time sina time
Ya kupoteza
Mida mida zetu zimefika
Dj MadLion hewa ongeza
Verse three - Kenchez
I know you wanna gerrit
Niko na cash mi sideal na macredit
Hii ni real and you know that I said it
I love the way you wine my baby
Baby come over, tukiseti in my RangeRover Twende all over, roho yangu umetake over Baby come over, tukiseti in my RangeRover Ni wewe nangoja, nyumbani twende pamoja
Chorus
Kelele kelele kelele kelele
Leo tunaleta
Kelele kelele kelele kelele
Dj ongeza hewa
Sina time sina time sina time
Ya kupoteza
Mida mida zetu zimefika
Dj MadLion hewa ongeza
Sina time sina time sina time
Ya kupoteza
Mida mida zetu zimefika
Dj MadLion hewa ongeza
Written by: ANDREW GUDAH, Daniel Mugoci Atsola, IGNATIUS NDONJI, Kenneth Muya Mukhwana, OSCAR WAIYAKI, PHYL KANGONGO
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...